
Faida za kula pensheni au pashen (passion fruit)
- tunda hili lina virutubisho kama vitamini A na C. pia lina madini ya chuma na potassium
- Husaidia kulinda mwili dhidi ya kemikali
- Hulinda moyo dhidi ya maradhi ya moyo
- Huboresha afya ya macho
- Hupunguza uwezekano wa kupata saratani ya tumbo, utumbo na matiti
- Hupunguza athari za maradhi ya kisukari
- Huondoa tatizo la kutopata choo
- Huimarisha mwili dhidi ya mashambulizi ya mara kwa mara.