
Faida za Mchaichai (lemongrass)
Majani haya hutumika kama mbadala wa majani ya chai. Yana harufu nzuri na rangia ya kuvutia pindi yakitumiwa kama mbadala wa majani ya chai.
- husaiadia katika kuboresha mfumo wa meng’enyo wa chakula
- Mchaichai una virutubisho kama vitamini C na A, pia una madini
- Hutumika kama dawa ya kukosa choo, kujaa kwa gesi na kuvimbiwa
- Husaidia kutoa sumu mwilini
- Husaidia katika kudhibiti presha ya damu na kuishusha
- Husaidia katika kusafisha ini
- Huboresha afya ya moyo.
- Husaidia katika uunguzwaji wa fati na mafuta mwilini
- Huimarisha na kuboresha afya ya ngozi na nywele
- Husaidia katika kutibu mafua na homa ya mafua
- Hupunguza maumivu ya chango la kinamama.