
Faida za kiafya za kula mayai
- Mayai yana virutubisho kama vitamini A, B5, B12, B2 B6, D, E na K. pia yai lina madini ya selenium, zinc na calcium
- Husaidia katika kuongeza kiwango cha cholesterol zilizo nzuri
- Husaidia katika ufanyaji kazi wa ubongo kuwa mzuri pia katika kutengeneza utando wa seli
- Mayai huamini ka katika kupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo
- Mayai ni chakula kizuri kwa afya ya macho
- Mayai yana kiwango kikubwa cha protini iliyo bora kabisa
- Pia mayai husaidia katika kupunguza hatari ya kupata kiharusi yaani kupalalaizi
- Husaidia pia katika kupunguza uzito.