
Faida za limao ama ndimu na limao
- hupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa stroke yaani kiharusi unaopelekea kupapapaizi
- Kushusha presha ya damu
- Huzuia kupata saratani
- Husaidia kuboresha afya ya ngozi
- Huzuia kuata pumu
- Husaidi katika ufyonzwaji wa madini ya chuma
- Huboresha na kuimarisha mfumo wa kinga
- Husaidia katika kupunguza uzito
- Ni chanzo kizauri cha vitamini C
- Lina virutubisho kama vitamini C, madini ya chuma, potassium, phosphorus na manganessium
- Hilinda mwili dhidi ya maradhi ya kiseyeye