
Faida za kiafya za kungumanga (nutmeg)
Hizi huliwa mbegu zake, na hukamuliwa mafuta
- kuku zina virutubisho vingi na mafuta, madini na fat
- Husaidia katika kuondoa ama kupunguza maumivu
- Kuboresha upataji wa choo kwa urahisi
- Huboresha afya ya ubongo na kukuza ufahamu
- Husaidia katika kuondoa sumu mwilini
- Huboresha afya ya ngozi
- Huboresha mzunguko wa damu
- Hulinda mwili dhidi ya maradhi kama leukemia