
Faida za Chungwa na Chenza (tangarine)
- ni chanzo kizuri cha vitamini C
- Huboresha mfumo wa kinga mwilini
- Huzuia uharibifu wa ngozi
- Huboresha presha ya damu
- Hususha cholesterol mbaya
- Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari
- Hupunguza hatari ya kupata saratani
- Husaidia kuboresha afya ya macho
- Huzuia tatizo la kufunga kwa choo