Posti hii inakwenda kukupa elimu kuhusu chanzo cha tatizo la computer au simu yako
NINI CHANZO CHA TATIZO LA KOMPYUTA AU SIMU YAKO?Ni muda wingi tumekuwa tukisumbuliwa na kompyuta zetu kwa kuwa na matatizo mbalimbali ambayo maranyingi huwa yanatugharimu pesa ndefu kuyatatuwa.leo tatizo dogo tu la kompyuta litakugharimu pesa ndefu wakati ungeweza kulitatuwa mwenyewe ukiwa nyumbani.Katika makala hii tutaangalia vyano vya haya matatizo katika kompyuta zetu hili litasaidia kuweza kujiepusha na matatizo haya. pia tutakuwa tukiangfalia namna ya kuweza kukabiliana na matatizo haya. kwa kawaida kompyuta zinakumbwa na matatizo mengi tuu lakini katika makala hii tutaona tuu yale matatizo yaliyozoeleka. kwa fano wa matatizo hayo ni kama haya;-1. KOMPYUTA AU SIMU KUWA SLOW2. KOMPYUTA AU SIMU KUSTAK3.KOTOWEZA KUFUNGUWA BAADHI YA MAFAILI4.KUTOWEZA KUCHEZA BAADHI YA GEMU5.KOTOKUTOWA RANGI NZURI6.KUSHINDWA KUUNGANISHA WIRELESS NETWORK {WI-FI}7.KUTOWEZA KUSOMA USB8.KUTOWEZA KUKONECT NA BLUETOOTH9.DATA KUPOTEA AU KULIWA10.KUZIMZAZIMA YENYEWE.Yapo mengine meengi ambayo pia tutayaona tunapokuwa tunaangalia tatizo moja baada ya jingine.mengi katika mmatatizo haya huwa yanashirikiana sababu za kutokea kwake japokuwa zinatofautiana kwa kiwangogani tatizo limefikia . sasa hebu tuone tatizo moja badala ya lingine na tuine vipi tutaweza kulitatuwa mwenyewe ukiwa nyumbani bila ya kukupotezea pesa za kwenda kwa fundi;-1.KOMPYUTA AU SIMU KUWA SLOWtatizo hili linaonekana pale kompyuta yako ina[pokuwa slow yaani inafanya kazi kwa utaratiibu sana yaani haina kasi. Tatizo hili hutokea kwa mfano pale unapoiwasha inatumia muda mwingi sana kuwaka, au unapoizima inatumia muda mwingi katika kuzima. Ila mbaya zaidi ni pale unapoikomand kufanya kitu kisha inakuwa ipo slow. unaweza ukafunguwa program lakini unasubiri uda mwingi kuingoja kompyuta imalize kuload. mfano mzuli ni pale unapofunguwa microsoft office kisha inaload kwa muda wa dakika ndo ifunguwe faili. Tatizo hili linapoteza muda mwingi kwa mtumiaji wa kompyuta hasa pale anapotaka kufanya kazi zake kwa uharaka zaidi.Ssa hebu tuone chanzo cha tatizo hiliCHANZO CHA TATIZO HILItatizo hili limenukuliwa na wataalamu mbalimbali na wakaonesha baadhi ya vyanzo vya tatizo hili. Kwa mfano Natasha Stokes mnamo June 03, 2016 katika tovuti yao http://www.techlicious.com/tip/reasons-why-your-computer-is-slow/ wametowa sababu 13 za tatizo hili kama nitakavyo vitaja hapo chini;-1. VIRUSIHapa tunajumuisha virusi, malware, spyware na trojan hizi zote ni software ambazo zimetengenezwa zikiwa na madhara kwa kompyuta yako. Kwakuwa zinalazimisha kukupatia advertizeent, au zinajaribu kuhack compyuta yako au kuathiri mafaili ndani ya kompyuta yako. Haya yote yanasababisha kompyuta kuwa bize hivyo kushindwa kufanya kazi zake kwa uzuli. VIRUS, TROJAN, MALWARE na SPYWARE vyote hivi tummezoea kuviita VIRUSI ila ni kuwa japo kazi zao ni moja kuathiri kompyuta yako lakini vipo tofauti. katika makala zijazo tutakuj kuona utofauti wao MUNGU akitaka.jinsi ya kulitatuwa njia pekee na ya uhakika ni kuwa na antvirusi iliyoactive na iliyo update. kama huna zipo za free kwa mfano avast au microsoft esential security au window defenda. Tokeo la picha la window defendervitu vya kuzingatia;-1. hakikisha unaskan kompyuta yote full scanning2. hakikisha antvirus yako ipo update3. ristat kompyuta yako baaya ya kuskan
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya hapa chini kuipakua sasa!
Umeionaje Makala hii.. ?
Wwatu wengi wamekuwa wakijiuliza ni muda gani hasa inapasa kuchaji simu, je nisubiri mpaka chaji iishe kabisa, ama nichaji ikiwa na asilimia ngap?
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukuelekeza njia za kufungua program nyingi kwa wakati mmoja
Soma Zaidi...NJIA RAHISI YA KUDOWNLOAD VIDEO YOUTUBE Teknolojia ya mawasiliano ni muhimu katika kuhakikisha kuwa ulimwengu unafikika kama kijiji kimoja na hapa ndipo unapata maana halisi ya neno UTANDAWAZA yaani kwa lugha ya kimombo ni globalization.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukufundisha kwa ufupi jinsi ya kuifanya blog yako, ama post za kwenye blog yako ziweze kupatikana kwenye search Engine kama Google, Bong, yandex na yahoo.
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukuelekeza kuhusu njia rahisi ya kudownload video YouTube
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kujua Kama simu yako ina virus
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kufanya endapo simu yako au computer itastack
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kujibu swali la je nitumie simu yangu wakati inachaji
Soma Zaidi...