DALILI ZA HOMA YA BONDE LA UFA (RVFD) NA INAVYOSAMBAZWA.
Homa hii inapatikana katika maeneo ya bonde la ufa barani Afrika na na Mashariki ya kati.
5. HOMA YA BONDE LA UFA (RVFD)
Homa hii inapatikana katika maeneo ya bonde la ufa barani Afrika na na Mashariki ya kati. Historia inaonyesha kuwa mnamo mwaka 1977 na 1978 mamilioni ya watu waliathirika na maradhi haya na maelfu ya watu walifariki kwa ugonjwa huu.
Homa ya bonde la ufa mwanzo kabisa ilifahamika kuwa inaathiri mifugo, ila kwa sasa tunatambua kuwa binadamu nae anaweza kuupata ugonjwa huu. msambazaji mkuu wa maradhi haya ni mbu aina ya Aedes, pindi anapomng'ata mtu huweza kubeba vimelea na kusambaza.
Dalili za homa hii pia hufanana na baadhi ya maradhi tulioyataja hapo juu. Dalili hizo ni:-homa, udahifu, maumivu ya mgongo, kuhisi kizunguzungu pamoja na kupungua uzito. Mara cache sana ugonjwa huu unaweza kupelekea hemorrhage hali inayopelekea kutokwa na damu aua meningoencephalitis hali inayopelekea kuvimba kwa ubongo.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 ai web app 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
Sababu za Ugonjwa wa Shinikizo la juu la Damu.
Shinikizo la juu la damu ni hali ya kawaida ambapo nguvu ya muda mrefu ya damu dhidi ya kuta za ateri yako ni kubwa vya kutosha hivi kwamba inaweza kusababisha matatizo ya kiafya, kama vile Ugonjwa wa Moyo.
Soma Zaidi...VIPIMO VYA MINYOO (UTAJUAJE KAMA UNA MINYOO)? fecal test, blood test, colonoscopy tape test X-ray, MRI na CT scan.
VIPIMO VYA MINYOO Haitoshelezi kuwa na dalili pekee ukathibitisha kuwa una minyoo.
Soma Zaidi...Ugonjwa wa Saratani ya ini.
Saratani ya ini ni Saratani inayoanzia kwenye seli za ini lako.
Soma Zaidi...Kushambuliwa kwa moyo na kupumua
Post hii inahusu zaidi kuhusu kushambuliwa kwa moyo na kupumua, kushambuliwa kwa moyo na kupumua kwa kitaala huitwa (cardiopulmonary Arrest) ni kitendo Cha kusimama ghafla kwa moyo na kupumua.
Soma Zaidi...Chanzo cha kiungulia
Post hii inahusu zaidi vyanzo vya kuwepo kwa kiungulia, kiungulia ni kitendo cha kupanda kwa gesi kutoka kwenye tumbo mpaka kwenye mdomo,hali uwasumbua wengi na kusababisha hali isiyo rafiki.
Soma Zaidi...Dalilili za tetekwanga
posti hii inazungumziaTetekuwanga . Tetekwanga(varisela) ni maambukizi ya virusi ambayo husababisha kuwasha, kama vile upele. Tetekuwanga huambukiza sana watu ambao hawajapata ugonjwa huo wala kupewa chanjo dhidi yake. Kabla ya chanjo ya mara kwa mara
Soma Zaidi...