UGONJWA WA MALARIA NA TAKWIMU ZA ATHARI YAKE KIDUNIA

Malaria ni katika maradhi ambayo husambazwa na na mbu jike aina ya anopheles.

UGONJWA WA MALARIA NA TAKWIMU ZA ATHARI YAKE KIDUNIA

4. MALARIA

Malaria ni katika maradhi ambayo husambazwa na na mbu jike aina ya anopheles. Kutokana na shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia afya (WHO) limetoa takwimu kuwa karibia watu milioni 300 mpaka 500, huathirika na ugonjwa wa malaria kila mwaka duniani. Na baadhi ya tafiti zinaonyesha kuwa yapata watu 470,000 wanafariki kwa ugonjwa wa malaria kila mwaka.

 

Ugonjwa wa malaria ulishakuwepo duniani toka zamani sana. Tafiti zinathibitisha kuwa malaria ilishakuwepo yapata miaka 2700 K.K yaani miaka 2700 kabla ya kuzaliwa kwa yesu. Na ndio maana kuna dawa nyingi za kienyeji ambazo zinatibu malaria, kwani wazee walishaugua ugonjwa huu toka zamani sana.

 

Dalili za malaria ni kama homa, maumivu ya viungo, viungio na mvurugiko wa tumbo. maumivu ya kichwa, kutapika ama kichefuchefu. Kutokwa na jaho na kukosa hamu yakula. Kuhisi baridi kali sana na kutetemeka. Kama mgonjwa atachelewa kutibu dalili hizi anaweza kuchanganyikiwa, kushindwa kupumua na hatimaye kifo. Kuusoma zaidi bofya hapa



                   



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 120


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-