Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye nephroni, uweza kutokea kwenye figo Moja au zote mbili.
Dalili za maambukizi kwenye nephroni
1. Mkojo kuwa mweusi, inawezekana kuwa ni sumu au madawa yaliyomo kwenye nephroni
2. Kuwasha sana hasa wakati wa kikohoa, utokea kwa sababu ya maambukizi.
3.mkojo unaozalishwa inakuwa ni kidogo sana ukiulinganisha na WA kawaida
4. Mwili mzima kuchoka
5. Kuongezeka kwa mapigo ya moyo
6. Joto la mwili kubadilika, kinaweza kuwa juu au chini
7. Miguu kukaa maji
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
hali ambayo misuli unayotumia kwa hotuba ni dhaifu au unapata shida kuidhibiti mara nyingi inaonyeshwa na usemi wa kufifia au polepole ambao unaweza kuwa mgumu kuelewa. Sababu za kawaida za Ugonjwa huu ni pamoja na matatizo ya mfumo wa neva (neurolojia
Soma Zaidi...Katika makala hii utajifunza kuhusu kifua kikuu, dalili zake, sababu zake, chanzo chake na mambo hatari kwa mgonjwa.
Soma Zaidi...Makala hii itakufundisha maradho makuu ya macho, matibabu yake na tiba zake
Soma Zaidi...Katika post hii utajifunz akuhusu vidonda vya tumbo na jinsi vinavyotokea. Utajifunza pia tahadhari anazopasa mtu achukuwe na vyakula salama anavyopaswa kula.
Soma Zaidi...Ugonjwa wa pumu ni moja katika magonjwa hatari yanayoweza kutokea kwa ghafla, na endapo itacheleweshwa kudhibitiwa inaweza sababisha athari mbaya zaidi
Soma Zaidi...Post inahusu zaidi athari za Ugonjwa wa herpes simplex kwa wajawazito au ugonjwa wa vipele kwenye midomo na sehemu za siri.ugonjwa huu uleta madhara kwa wajawazito kama tutakavyoona
Soma Zaidi...Post hii inahusu Zaidi tatizo la kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu,ni tatizo ambalo usababishwa na bakteria ambao uingia kwenye mapafu na kusababisha madhara na hatimaye mapafu kuwa na usaha .
Soma Zaidi...posti hii inahusu dalili za Pua iliyovunjika, pia inaitwa fracture ya pua, ni kuvunjika au kupasuka kwa mfupa katika pua yako
Soma Zaidi...