Posti hii inahusu zaidi Magonjwa ya kuambukiza, ni magonjwa ambayo yanaweza kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na kuweza kusababisha madhara yale yale kwa mtu aliyeambukizwa au anayeambukiza kwa hiyo Maambukizi yanaweza kuwa ya moja kwa moja au yasi
1.Magonjwa haya yanaweza kuwa ya moja kwa moja au yasiyo ya moja kwa moja kwa sababu ya moja kwa moja ni Maambukizi ya moja kwa moja kutoka kwa mtu au kwa kitu kinachoeneza ugonjwa kwa mfano Magonjwa ya kujamiiana, kugusana,kubusiana na mengine kama hayo .
2.Maambukuzi yasiyo ya moja kwa moja.
Kuna Maambukizi ambayo upitia kwa vitu au kitu na kufikia kwa mhusika na kuisambaza Magonjwa kwa mfano kupitia kwa wadudu ambao wanakuwa wamebeba magonjwa au kupitia kwa kitu chochote ambacho ubeba wadudu wanaosababisha magonjwa kwa mfano kwenye damu utakuta wadudu wanaosababisha homa ya ini, Ukimwi, magonjwa ya zinaa na mambo yote ambayo upitia kwenye damu.
3. Pengine wadudu wanaweza kupitia kwenye vimiminika na kusambazwa kwa mtu na akapata ugonjwa kwa mfano mtu akipiga chafya yale maji yanasambaa kwenye sehemu fulani ya mwili wa mwingine mtu huyo anaweza kupata magonjwa, au pengine wakati wa kukohoa, kubusiana na mambo kama hayo kwa hiyo tunapaswa kuwa makini na maji maji kutoka kwa mgonjwa kwenda kwa mtu mzima.
4. Pengine ugonjwa unaweza kusambaa kwa njia ya hewa ambapo kwa kitaalamu huitwa aibone diseases , magonjwa haya usambaa kwa njia ya hewa kwa hiyo tuwe makini kwa watu tunaowahudunmmia ili kuepuka Maambukizi.
5. Kupitia kwa wadudu.
Hali hii utokea pale wadudu kama plasmodium, chawa na wengine na wanaosababisha ugumjwa kwa hiyo tunapaswa kuwalinda wagonjwa wetum
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa Dengue, ni ugonjwa unaosababishwa na virusi ila unasambazwa na mbu kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine mbu anayasambaza Ugonjwa huu kwa kitaalamu huitwa Aedes mosquito .
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya maambukizi kwenye tumbo,hasa pale ambapo mgonjwa hakutibiwa
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...TIBA YA MINYOO Moja katika sifa za minyoo ni kuwa wanatibika kwa urahisi pindi mgonjwa akipewa dawa husika.
Soma Zaidi...Kuna ukimwi na HIV na kila kimoja kina dalili zake na muda wa kuonyesha hizo dalili.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za mtoto Mwenye UTI,ni dalili ambazo uwapata watoto wadogo chini ya umri wa miaka mitano.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Saratani ya matiti ya Mwanaume ni Saratani nadra ambayo hutokea katika tishu za matiti za wanaume. Ingawa saratani ya matiti hufikiriwa zaidi kuwa ugonjwa wa wanawake, saratani ya matiti ya mwanaume hutokea. Saratani y
Soma Zaidi...Polio ni ugonjwa wa virusi unaoambukiza ambao katika hali mbaya zaidi husababisha kupooza, kupumua kwa shida na wakati mwingine kifo.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa akili .
Soma Zaidi...Somk hili linakwenda kukueleza kuhusu Mambo mbalimbali yahusuyo HIV na UKIMWI
Soma Zaidi...