Posti hii inahusu zaidi mambo anyopaswa kujua akiwa mjamzito. Ni mambo muhimu ya kuzingatia kwa mama akiwa mjamzito.
Mambo anavyopaswa kujua mama mjamzito
1.kuhusu uzazi wa mpango
Mama mjamzito anapaswa kujua njia mbali za uzazi wa mpango Ili aweze kumnyonyesha mtoto wake vizuri na kumpa upendo wa kutosha
2.Kuhudhulia kliniki inavyopaswa
Mama mjamzito anapaswa kuhudhulia kliniki kwa mda wote bila kukatishakatusha
3.kupima maambukizi
Mama mjamzito anapaswa kupima afya yake kabla ya kujifungua Ili hasimwambukize mtoto kabla ya kujifungua
4.Kutumia dawa anayopewa kwa uaminifu
Mama mjamzito anapaswa kutumia vidonge vinaitwa fansida akiwa mjamzito Ili kuzuia malaria kwa mtoto
5.kutumia vyakula vinavyoongeza damu na madini ya chuma
Mama mjamzito anapaswa kutumia vyakula vinavyoongeza damu na madini ya chuma
6.kuepuka pombe kali na bangi
Mama mjamzito anapaswa kuepuka kunywa pombe na bangi kwa sababu huaribu maendeleo ya mtoto
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Point hii inahusu zaidi mbinu za kupunguza Kichefuchefu hasa kwa wagonjwa na watumiaji wa madawa mbalimbali yanayoweza kusababisha kichefuchefu.
Soma Zaidi...Habari DoktaNikuulize kituu?
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na huduma kwa mama wajawazito na waliojifungua.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za kujifungua hatua kwa hatua
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi huduma kwa mama ambaye mimba imetoka moja kwa moja, aina hiyo ya mimba kwa kitaalamu huitwa complete abortion.
Soma Zaidi...Je umeshawahi kujiukiza kuwa, dawa ya P2 ni kweli inaweza kuzuia mimba, ukifanya mapenzi siku hatari?
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia ambazo mtu anapaswa kutumia ili kuweza kupunguza tatizo hili kisiweze kutokea na pia kama jamii ikishirikiana kwa pamoja tunaweza kuepusha kwa kufanya yafuatayo.
Soma Zaidi...Maumivu wakati wa tendo la ndoa kitaalamu huitwa dyspareunia.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutumia madawa ya kupunguza maumivu,ni madhara ambayo utokea kwa mtu anayetumia madawa ya kupunguza maumivu.
Soma Zaidi...Kipimo chamimba cha mkojo, huonyesha nestory miwili kuwa una mimba, na mmoja kuwa huna mimba. Sasa je ukitokea mmoja umekoleana mwingine hafifu? Endelea na pasti Γ’ΕΒΓ―ΒΈΒ hadi mwisho
Soma Zaidi...