Kupambana na kisukari
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupambana na kisukari
KUPAMBANA NA KISUKARI
A)hakikisha una uzito wa kawaida
B)Wacha kutumia bidhaa za tumbaku
C)Punguza misongo ya mawazo
D)Fanya mazoezi ya mara kwa mara
E)Kula mlo kamili
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 web hosting 👉3 ai web app 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
Matatizo ya homoni (Hormonal Imbalance): Jinsi ya kuyatambua.
Homoni ni wajumbe wa kemikali mwilini wanaosimamia michakato mingi muhimu, kuanzia kimetaboliki, mzunguko wa hedhi, hadi hali ya hisia (mood). Mabadiliko kidogo tu katika uwiano wa homoni hizi yanaweza kusababisha madhara makubwa mwilini. Makala hii inaelezea kwa kina jinsi ya kutambua ishara za matatizo ya homoni na hatua za kuchukua ili kurejesha afya yako.
Soma Zaidi...Nini husababisha Fangasi sehemu za Siri
Katika somo hili tutaeleza sababu kuu zinazopelekea kupata fangasi sehemu za siri, mazingira yanayochochea kuongezeka kwa fangasi, pamoja na vitu vinavyochangia maambukizi na kurudia-rudia kwa tatizo.
Soma Zaidi...Sababu za Uvimbe wa tishu za Matiti kwa wavulana au wanaume
posti hii inazungumzia kuhusiana na uvimbe wa tishu za matiti kwa wavulana au wanaume, unaosababishwa na kutofautiana kwa homoni za estrojeni na testosterone. Pia unaweza kuathiri matiti moja au zote mbili, wakati mwingine bila usawa. Watoto wachanga,
Soma Zaidi...Sababu za ugonjwa wa pumu, dalili zake na jinsi ya kujilinda na pumu.
Ugonjwa wa pumu ni ugonjwa unaoshambulia mfumo wa hewa ambapo mgonjwa hushindwa kupumua vizuri na hupelekea matatizo ya kudumu kama haujatibiwa mapema.
Soma Zaidi...Mapigo ya moyo kwenda mbio, mwili kuchoka,kichefuchefu, kizungungu, joto kiasi.
Je, mtu mwenye dalili zifuatazo Kama, Mapigo ya moyo kwenda mbio, mwili kuchoka,kichefuchefu, kizungungu, joto kiasi.
Soma Zaidi...Ni nini husababisha kuziba kwa Njia ya machozi
Posti hii inaelezea kuhusiana na dalili na sababu zinazopelekea Ugonjwa wa kuziba kwa Njia ya machozi yaani kukosa machozi ambayo husababishwa na maambukizi.
Soma Zaidi...