picha

(xiii)Huwa muaminifu

Waumini wa kweli waliofuzu huchunga amana.

(xiii)Huwa muaminifu

(xiii)Huwa muaminifu


Waumini wa kweli waliofuzu huchunga amana. Hutunza amana aliyopewa na kuirejesha au kuitumia kwa mujibu wa maelekezo ya mwenyewe.


Amana kuu aliyopewa mwanaadamu na Mola wake ni kule kufadhilishwa kwake kuliko viumbe vingine vyote ili asimamishe Ukhalifa (utawala wa Allah) katika ardhi kama tunavyokumbu shwa katika Qur-an:



β€œKwa yakini Sisi Tulidhihirisha amana kwa mbingu, ardhi na milima,vikakataa kuichukua na vikaiogopa,lakini mwanaadamu aliichukua. Bila shaka yeye ni dhalimu mkubwa, mjinga sana ”. (33:72)




                   


Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Jifunze Main: Post File: Download PDF Views 1955

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
πŸ‘‰1 Kitau cha Fiqh     πŸ‘‰2 Kitabu cha Afya     πŸ‘‰3 Dua za Mitume na Manabii     πŸ‘‰4 kitabu cha Simulizi     πŸ‘‰5 ai web app     πŸ‘‰6 Simulizi za Hadithi Audio    

Post zinazofanana:

sura ya 02

Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa

Soma Zaidi...
Zingatio:

Swala husimama kwa kuhifadhiwa na kuswaliwa kwa khushui na kudumu na swala katika maisha yote.

Soma Zaidi...
ZOEZI

Zoezi laΒ 1 (a) Ainisha maana ya sunnah kilugha na kisheria.

Soma Zaidi...
Elimu

Uwanja wa elimu na maarifa

Soma Zaidi...