Kutokwa na damu baada ya tendo la ndoabkunaweza kuashiria kuwa kuna majeraha yametokea huwenda ni michubuko ilitokea ndio ikavujisha damu. Lakini kwa nini hali kama hii itokee. Posti hii itakwwnda mujibu swali hili.
Swali
Nilipokutana kimapenzi alipopizi niliona damu kidogo nilipochichumaa niliona damu zimechanganyikana kidogo ilikua bado siku tatu kuingia hedhi yangu ilivopita siku 11nimepima Nina ujauzito je inawezekana nilipata mapema kabla na kwann damu kidogo baada ya tendo?
Jibu:
Katika swali la kwanza ni kweli kuwa mimba iliingia kabla ya hapo. Siku tatu kabla ya kuingia hedhi huwezi kupata ujauzito.
Ama kuhusu hiyo damu kuna nadharia hapa tunaweza kuziweka katika kujaribu; kujibu swali hilo:
1. Huwenda tendo lilifanyika kwa pupa hata kukatokea michubuko nabikavujisha damu
3. Huwenda kulikosekana uteute wa kutosheleza hivyo msuguano ukasababishabmivhubuko ambayo inasababisha kuvuja damu
3. Wakati wa hedhi kukaribia nyama za tumbo la uzazi huwa laini kujiandaa kuondoa tishu hivyo huwenda vurugu zabtendo zikasababisha kutoka damu kutokea kwenye tishu hizo.
4. Huwenda damu hiyo ni viashiria vya kukaribia hedhi.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuepuka fangasi za ukeni, ni njia ambazo usaidia kuepuka madhara ya fangasi za ukeni.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea hatua za ukuaji mimba na dalili zake
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mwanzo za ujauzito katika wiki ya kwanza
Soma Zaidi...Post hii itakwenda kuangalia madhara ya tumbaku na sigara anayoweza kuyapata mvutaji
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa hedhi zaidi ya mara moja kwa mwezi mmoja, mara nyingi kuna Watu ambao huwa wanalalamika kwa sababu ya kupata hedhi za mara kwa mara kwa mwezi mmoja.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa sababu ya kutumia mara kwa mara vidonge vya P2,
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi namna ya kumtunza mtoto mchanga aliyezaliwa, ni njia zitoleeazo na wakunga Ili kumtunza mtoto mchanga aliyezaliwa.
Soma Zaidi...Hutokea uchungu wa kujifunguwa ukakati. Unadhani ni kitugani kinatokea.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu msaada kwa mwenye maumivu ya tumbo la hedhi, hizi ni huduma ambazo utolewa kwa wale wenye maumivu ya tumbo la hedhi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kuwepo kwa mabonge ya damu wakati wa hedhi, tunajua kabisa wakati wa hedhi damu inapaswa kuwa nyepesi na ya kawaida ila kuna wakati mwingine inakuwa na mabonge zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa mabonge ya damu wakati wa hedhi.
Soma Zaidi...