Haki na uadilifu katika uislamu (EDK form 3: Dhana ya elimu ya uislamu)
Haki za Viumbe na Mazingira.
Uislamu umeweka kipaumbele katika kuhifadhi mazingira na kutunza viumbe hai na visivyo hai kupitia sera mbali mbali zikiwemo;
Haki ya Hifadhi ya Mazingira na misitu.
Rejea Quran (6:38), (27:60), (16:10-13), (50:7-9), (56:63-64) na (39:62).
Mazingira ni amana katika kulinda uhai wetu na wa viumbe wengine.
Rejea Quran (7:10) na (16:112).
Sera na Mafundisho ya Mtume (s.a.w) juu ya hifadhi ya mazingira katika kuleta ustawi wa jamii.
Sera ya mapinduzi ya kitabia katika kutunza na kuhifadhi mazingira yote yanayotuzunguka.
Sera ya usafi na uhifadhi wa mazingira ili kuleta ustawi wa viumbe hai.
Rejea Quran (6:141) na (25:2).
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Hapa utajifunza utaratibu wa hutuba ya ndoa ya kiislamu. Sharti za jutuba ya ndoa na jinsibya kuozesha
Soma Zaidi...Kuchunga au kutekeleza ahadi ni miongoni mwa vipengele muhimu vya tabia ya muumini wa kweli.
Soma Zaidi...Maana ya elimuElimu ni ujuzi ulioambatanishwa na utendaji.
Soma Zaidi...Aina za Swala za Sunnah.
Soma Zaidi...