عَنْ أَبِي حَمْزَةَ أَنَسِ بْنِ مَالِكٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ خَادِمِ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم عَنْ النَّبِيِّ صلى الله عليه و سلم قَالَ: "لَا يُؤْمِنُ أَحَدُكُمْ حَتَّى يُحِبَّ لِأَخِيهِ مَا يُحِبُّ لِنَفْسِهِ".
رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ [رقم:13]، وَمُسْلِمٌ [رقم:45].
[رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ]
، [وَمُسْلِمٌ]
Kwa mapokezi ya Abu Hamzah Anas bin Malik (Mwenyezi Mungu apendezwe naye) - mtumwa wa Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (amani na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) - kwamba Mtume (amani na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alisema. :
Hakuna yeyote kati yenu anayeamini hadi awe anapenda apate ndugu yake kile anachojipendaea mwenyewe.
[Al-Bukhari] [Muslim].