عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم "مِنْ حُسْنِ إسْلَامِ الْمَرْءِ تَرْكُهُ مَا لَا يَعْنِيهِ".
حَدِيثٌ حَسَنٌ، رَوَاهُ التِّرْمِذِيُّ [رقم: 2318] ، ابن ماجه [رقم:3976].
Kwa mapokezi ya Abu Hurayrah (Mwenyezi Mungu apendezwe naye) ambaye alisema:
Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (amani na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alisema, "Sehemu ya ukamilifu wa Uislamu wa mtu ni kuacha kwake ambayo hayamhusu." (At-Tirmidhi na wengine).