عَنْ أَبِي عَبْدِ اللَّهِ النُّعْمَانِ بْنِ بَشِيرٍ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا، قَالَ: سَمِعْت رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم يَقُ?...
عَنْ أَبِي عَبْدِ اللَّهِ النُّعْمَانِ بْنِ بَشِيرٍ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا، قَالَ: سَمِعْت رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم يَقُولُ: "إنَّ الْحَلَالَ بَيِّنٌ، وَإِنَّ الْحَرَامَ بَيِّنٌ، وَبَيْنَهُمَا أُمُورٌ مُشْتَبِهَاتٌ لَا يَعْلَمُهُنَّ كَثِيرٌ مِنْ النَّاسِ، فَمَنْ اتَّقَى الشُّبُهَاتِ فَقْد اسْتَبْرَأَ لِدِينِهِ وَعِرْضِهِ، وَمَنْ وَقَعَ فِي الشُّبُهَاتِ وَقَعَ فِي الْحَرَامِ، كَالرَّاعِي يَرْعَى حَوْلَ الْحِمَى يُوشِكُ أَنْ يَرْتَعَ فِيهِ، أَلَا وَإِنَّ لِكُلِّ مَلِكٍ حِمًى، أَلَا وَإِنَّ حِمَى اللَّهِ مَحَارِمُهُ، أَلَا وَإِنَّ فِي الْجَسَدِ مُضْغَةً إذَا صَلَحَتْ صَلَحَ الْجَسَدُ كُلُّهُ، وَإذَا فَسَدَتْ فَسَدَ الْجَسَدُ كُلُّهُ، أَلَا وَهِيَ الْقَلْبُ".
[رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ]
، [وَمُسْلِمٌ]
Kwa mapokezi ya-Nu'man ibn Basheer (ra), ambaye alisema:
Nilimsikia Mjumbe wa Allaah ((s.a.w)) akisema, "Kilicho halali kipo wazi na kisicho halali kipo wazi, na baina ya viwili hivi kuna mabo yenye kutatiza ambayo watu wengi hawajui. Kwa hivyo yeye anayeepuka mambo ya mashaka hujisafisha kuhusu dini yake na heshima yake,
lakini yeye anayeanguka katika mambo ya kutilia shaka [mwishowe] huangukia katika jambo lisilo halali, kama mchungaji anayechunga kuzunguka wigo (mpaka), anahofia mifugo yake kuingia ndani yake.
Kwa hakika kila Mfalme ana mipaka, na hakika mipaka ya Mwenyezi Mungu ni makatazo Yake. Kwa hyakini katika mwili kuna kipande cha nyama, ambacho, ikiwa kipo salama, mwili wote utakuwa salama, na ikiwa hakipo salama, mwili wote hautakuwa salama. Kwa hakika kipande hiko, ni moyo.
"[Bukhari & Muslim]
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii itakufundisha kuhusu swala ya sinnah ya tawba.
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukufundisha kuhusu jinsi yavkuchunga nyakatibza swala tano.
Soma Zaidi...Nazingatio muhimu katika uchumi unaofuata sheria za kiislamu.
Soma Zaidi...Post hiibitakugundisha hekima ya kuruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja katika sheria za kiislamu.
Soma Zaidi...