عَنْ أُمِّ الْمُؤْمِنِينَ أُمِّ عَبْدِ اللَّهِ عَائِشَةَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهَا، قَالَتْ: قَالَ: رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم "مَنْ أَحْدَثَ فِي أَمْرِنَا هَذَا مَا لَيْسَ مِنْهُ فَهُوَ رَدٌّ
[رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ]
، [وَمُسْلِمٌ]
.
وَفِي رِوَايَةٍ
لِمُسْلِمٍ
:مَنْ عَمِلَ عَمَلًا لَيْسَ عَلَيْهِ أَمْرُنَا فَهُوَ رَدٌّ"
Kwa mapokezi ya mama wa waaminifu, Aisha (ra), ambaye alisema:
Mjumbe wa Allaah ((s.a.w)) alisema, "Yeye anayezusha jambo katika jambo letu hili (ambalo ni, Uisilamu) ambalo halikuwepo, basi jambo hilo atarudishiwa (na Mwenyezi Mungu)." [Bukhari & Muslim] Katika toleo lingine kwa Muslim inasomeka: "Yeye anayefanya kitendo ambacho hakipo kwnye jambo letu (dini), (jambo hilo) litakataliwa (na Mwenyezi Mungu)."