Chemsha bongo namba 13

23.

Chemsha bongo namba 13

Chemsha bongo 13

imageimage
23.Manywele
Kijana mmoja alikuwa na nyele ndefu pamoja na ndevu za wastani zilizo nyeusi sana. Kijana huyu alikuwa shevu kwa siku mara 10 mpaka 15. lakini bado alibakiwa kuwa na nyele ndefu na ndevu ndefu. Unadhani ni mtindo gani huwa anatumia?

Jibu
Ni kwa sababu huyu kijana ni kinyozi. Hushevu watu wengine.


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Chemshabongo Main: Burudani File: Download PDF Views 1463

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh    👉2 Bongolite - Game zone - Play free game    👉3 Simulizi za Hadithi Audio    👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉5 Kitabu cha Afya    👉6 kitabu cha Simulizi   

Post zinazofanana: