Chemsha bongo namba 15

24.

Chemsha bongo namba 15

Chemsha bongo 10

imageimage
24.Mirathi
Kulikuwa na mzee mmoja na watoto wake watatu. Mzee huyu alikuwa na mali nyingi sana. Akatamani amrithishe mali zile mtoto wake ambaye atakuwa na busara zaidi. Basi akawaita wanawe na kuwapa chemshabongo, na kuwa atakayeshinda ndiye ambaye atarithishwa.

Aliwapa sarafu 2 za shilingi mia mbili na kuwataka wanunue kitu cha kujaza chumba kizima kwa pesa zile. Basi mtoto wa kwanza akaleta mikate ambayo haikujaa hata kwenye bakuli. Wa pili akaleta makaratasi ambayo hayakujaa chumbani. Mtoto wa tatu akaleta kitu . na mzee akamchaga huy wa tatu. Unadhani ni kitu gani mtoto huyu alileta?

Jibu
Alileta kibiriti, ulipofika usiku aliwasha njiti ya kibiriti na chummba kizima kikajaa mwanga.


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Chemshabongo Main: Burudani File: Download PDF Views 1915

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio    👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉3 kitabu cha Simulizi    👉4 Kitau cha Fiqh    👉5 Madrasa kiganjani    👉6 Bongolite - Game zone - Play free game   

Post zinazofanana:

SIRI

Hapana mpaka sasa hautambui chochote kuhusu kilichotokea.

Soma Zaidi...
KUMTOROSHA MFUNGWA GEREZANI

Chemshabongo, Je? ungelikuwa ni w ewe ungetorokaje gerezani?

Soma Zaidi...
SIRI

Baada ya kutulia vizuri unaanza kukumbuka umefikaje hapa kwenye misitu.

Soma Zaidi...
CHEMSHABONGO NA BONGOCLASS

Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.

Soma Zaidi...
SIRI

Kutoka kwenye usingizi mzito unaamka, Haujui nini kimetokea (uenda ukawa umepoteza kumbukumba).

Soma Zaidi...