fangasi wa kwenye Mdomo na koo

fangasi wa kwenye Mdomo na koo

fangasi wa kwenye Mdomo na koo

fangasi wa kwenye Mdomo na koo

  1. Fangasi hawa wa kwenye mdomo watambulikao kama thrush ama oropharyngeal candidiasis wanaweza kuishi kwenye koo na tundu zima la koo kuelekea kwenye tumbo na hawa wanajulikana kama esophageal candidiasis ama candida esophagitis. Fangasi hawa ni maarufu sana kwa watu wanaoishi na HIV ana UKIMWI.

 

Dalili za fangasi hawa

  • Kuwa na madoa meupe kwenye sehemu ya ndani ya shavu, ulimi, sehemu ya juu ya mdomo, na koo.
  • Unahisi kama kuna pambai kwenye mdomo
  • Kupetea kwa ladha ya unachokila
  • Maumivu wakati wa kula ama kumeza
  • Kupasuka na kuwa wekundu kwenye kona za mdomo

 

Walio hatarini kupata fangasi hawa:

Fangasi hawa si kawaida sana kuwapata watu wenye afya madhubuti. Ijapokuwa wapo watu ambao wapo hatarini sana kupata fangasi hawa kama watoto chini ya umri wa mwaka mmoja, na watu wenye matatizo ya kiafya kam wenye:-

  • Watu wanaotumia meno bandia
  • Watu wenye kisukari
  • Watu wenye saratani
  • Watu wenye HIV ama UKIMWI
  • Watu wanaotumia dawa amazo zinakausha mdomo
  • Watu wanaovuta sigara.
  • Watu wanaotumia dawa za kupulizia za pumu

 

Njia ya kupambana na fangasi hawa:

Wengi wanaopata fangasi hawa ni wale ambao mfumo wao wa kinga umeathirika hivyo miili yao haiwezi kupambana vyema na mashambulizi. Hivyo kupambana na fangasi hawa hakikisha unaweka mwili wako katika hali njema ya kiafya. Muone daktari akuelekeze namna ya kuboresha afya yako. Pia piga mswaki kila unapotumia dawa ya kupulizia ya pumu. Wacha kuvuta sigara.



                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 8516

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 web hosting     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 ai web app     👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉6 Bongolite - Game zone - Play free game    

Post zinazofanana:

Fangasi za miguu na ngozi (Ringworm): Jinsi ya kuwatibu.

Fangasi za ngozi, zinazojulikana kitabibu kama Dermatophytosis au Tinea, ni maambukizi ya kawaida sana ya ngozi yanayosababishwa na fangasi aina ya dermatophytes. Ingawa jina "Ringworm" linaweza kuleta picha ya mdudu, hakuna mdudu anayehusika—ni fangasi tu! Makala haya yanatoa mwongozo wa kitaalamu kuhusu jinsi ya kutambua, kutibu, na kuzuia maambukizi haya ili kudumisha afya ya ngozi yako.

Soma Zaidi...
Dalili za saratani ya damu au uboho.

posti hii inahusu dalili za aratani ya damu au ubobo ambayo kwa jina lingine hujulikana Kama Acute lymphocytic Leukemia (ALL) ni aina ya Saratani ya damu na uboho tishu zenye sponji ndani ya mifupa ambapo seli za damu hutengenezwa.

Soma Zaidi...
Hofu ya kijamii (Social Anxiety): Dalili na tiba.

wazo la kuzungumza mbele ya hadhara au hata kwenye mikutano midogo linakupa jasho na mapigo ya moyo kwenda mbio? Hii inaweza kuwa ni Social Anxiety Disorder—hofu kubwa ya kutathminiwa au kuhukumiwa na wengine. Makala haya yanakusaidia kutambua kama una hali hii na mbinu za kitaalamu za kuishinda ili uweze kuishi maisha ya kujiamini

Soma Zaidi...
Maambukizi ya njia ya mkojo kwa wanawake

​Maambukizi ya Njia ya Mkojo (UTI) ni moja kati ya changamoto kubwa za kiafya zinazowasumbua wanawake wengi kote ulimwenguni. Makala haya yanajadili kwa kina vyanzo vya maambukizi haya, dalili zake, sababu zinazowafanya wanawake kuwa katika hatari zaidi, mbinu za kujikinga, na ufafanuzi wa ukweli wa kisayansi dhidi ya dhana potofu zilizopo kwenye jamii.

Soma Zaidi...
Ugonjwa wa UTI

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu ugonjwa wa UTI

Soma Zaidi...
Ugonjwa wa Uharibifu wa seli nyekundu za damu

Posti hii inazungumzia kuhusiana na was Uharibifu wa seli nyekundu za damu ambapo hujulikana Kama Ugonjwa wa Hemolytic uremic (HUS) ni hali inayotokana na uharibifu usio wa kawaida wa seli nyekundu za damu mapema. Mara tu mchakato huu unapoanza, seli nye

Soma Zaidi...