Fangasi wa kwenye uke.

Fangasi wa kwenye uke.

Fangasi hawa kitaalamu wanafahamika kama vagina yeast infection na majina mengine ya kitaalamu ni kama vagina candidiasis, u vulvovaginal candidiasis au candidal vaginitis.

Fangasi wa kwenye uke.

2. Fangasi wa kwenye uke.

Fangasi hawa kitaalamu wanafahamika kama vagina yeast infection na majina mengine ya kitaalamu ni kama vagina candidiasis, u vulvovaginal candidiasis au candidal vaginitis. Majina yete haya yanalenga vagina yaani uke.

 

Dalili za fangasi hawa wa ukeni

  • Uke kuwasha na kuweka kama makovu
  • Maumivu wakati wa tendo la ndoa
  • Paumivu wakati wa kukojoa
  • Kutokwa na majimaji yasiyo ya kawaida kwenye uke.

Wakati mwingine fangasi hawa wa kwenye uke wanakuwa hatari sana na kusababisha mipasuko kwenye ukuta wa uke, kuvimba na kuwa kwekundu. Hali hizi humfanya mwanamke kukosa hali ya kujiamini.

 

Walio hatarini zaidi

Fangasi hawa ni kawaida lakini kuna watu ambao wapo hatarini zaidi kupata fangasi hawa. Tafiti nyingi bado zinafanyika kuweza kugundua kwa nini watu flani wapo hatarini zaidi kuapa fangasi hawa. Watu hawa ni:-

  • Wajawazito
  • Wanaotumia njia za uzazi wa mpango za homoni
  • Watu wenye kisukari
  • Watu wenye mfumo dhaifu wa kinga kama wenye HIV
  • Wtu wanaotumia antibiotics

Kupambana na fangasi hawa

  1. Vaa nguo za ndani zinazotokana na pamba
  2. Usivae nguo za kubana
  3. Vaa nguo zilizo kavu
  4. Zungumza na daktari kuhusu matumizi ya antibiotics kama zinakuletea madhara

 



                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 2734

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
πŸ‘‰1 kitabu cha Simulizi     πŸ‘‰2 web hosting     πŸ‘‰3 Kitau cha Fiqh     πŸ‘‰4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     πŸ‘‰5 Madrasa kiganjani     πŸ‘‰6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    

Post zinazofanana:

Sababu za Hedhi Kuchelewa Bila Mimba

​Kuchelewa kwa hedhi ni jambo linaloweza kuleta hofu na wasiwasi, hasa kwa wanawake wanaohisi kuwa mimba ndiyo sababu pekee. Hata hivyo, kuna sababu nyingi za kibiolojia na mtindo wa maisha zinazoweza kusababisha mzunguko wa hedhi kuvurugika. Post hii inachunguza visababishi hivi na kutoa mwongozo wa wakati mwafaka wa kuona daktari.

Soma Zaidi...
Tofauti kati ya homa ya mapafu (Nimonia) na mafua makali.

​Mara nyingi watu huchanganya Nimonia (Pneumonia) na mafua makali kwa sababu yote huathiri mfumo wa upumuaji. Hata hivyo, haya ni magonjwa tofauti kimsingi: mafua husababishwa na virusi na huathiri njia ya juu ya hewa (pua, koo), wakati Nimonia ni maambukizi ya viini (bakteria, virusi, au fangasi) yanayoshambulia mifuko ya hewa ndani ya mapafu (alveoli). Makala hii inaelezea tofauti za kifizikia na umuhimu wa kupata matibabu sahihi.

Soma Zaidi...
Je utambuzi wa maambukizi ya ukimwi hupatikana mda gani pale mtu anapoambukizwa

Kuna ukimwi na HIV na kila kimoja kina dalili zake na muda wa kuonyesha hizo dalili.

Soma Zaidi...
Je, ni rahisi kuambukizwa ugonjwa wa nimonia?

Nimonia ni uvimbe wa mapafu unaosababishwa na maambukizi ya vimelea kama bakteria, virusi, au fangasi. Sio kila kesi ya Nimonia inaambukiza kwa njia sawa; inategemea na kimelea kinachosababisha. Makala hii inachambua njia kuu za maambukizi ya Nimonia, mambo yanayopunguza kinga ya mwili, na jinsi jamii inavyoweza kuchukua hatua kuzuia kuenea kwa ugonjwa huu.

Soma Zaidi...
Zifahamu sofa za seli

Seli ni chembechembe hai ambazo zimo ndani ya mwili wa binadamu na hufanya kazi mbalimbali kwenye mwili, binadamu hawezi kuishi bila seli.

Soma Zaidi...
Kazi ya mwanasaikolojia na daktari wa magonjwa ya akili.

Unapokutana na changamoto za afya ya akili, ni rahisi kuchanganyikiwa kuhusu ni nani unayepaswa kumuona kati ya mwanasaikolojia na daktari wa magonjwa ya akili. Ingawa wote wanasaidia kuboresha afya ya akili, taaluma zao, mifumo yao ya mafunzo, na mbinu zao za matibabu ni tofauti kabisa. Makala haya yanachambua majukumu ya kila mmoja ili ujue wapi pa kupata msaada sahihi.

Soma Zaidi...