Chini ya Tumbo langu Kuna uchungu lakini si sana shinda ni ni?

Nini kinasababisha maumivu ya tumbo chini ya kitovu?

Hili ni swali ambalo limeulizwa na mdau: 

Swali:  Chini ya tumbo yangu Kuna uchungu lakini si sana shinda ni ni?

 

Jibu: 

Maumivu ya tumbo chini ya kitovu yanaweza kuhusiana na shida nyingi za kiafya. Ila hutegemea na na jinsia na mtu na umri wake. Maumivu haya yanaweza kuhusiana na: -

1. Mfumo wa kizazi kwa wanawake

2. Shida ya homoni kwa wanawake

3. Maradhi ya Typhod 

4. Ngiri

5. Kukosa choo

6. Tumbo kujaa gesi

7. Mvurugiko wa tumbo

8. Minyoo

 Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2023/01/09/Monday - 07:05:40 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 666


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-