picha

Fahamu dawa za kutibu mafua

Post hii inahusu dawa za kutibu mafua ambazo ni cough seppessants na nasal congestion ni dawa ambazo zimependekezwa kwa ajili ya kutibu mafua.

Fahamu dawa za cough seppessants nasal decongestant kwa kupamba na mafua.

1. Dawa ya cough seppessants ni mojawapo ya dawa ambayo usaidia katika matibabu ya mafua dawa hii huwa na mchanganyiko wa vitu mbalimbali na dawa nyingine ambazo ni codeine pamoja ,pholcodone na dextromethirohani, kwa upande wa codeine ni dawa nzuri ila I'ma tatizo la kusababisha choo kuwa kigumu, lakini kwa upande wa dextromethirohan na pholcodone usaidia kutibu mafua ila huwa na taizo la kuleta homa kwa watumiaji wa dawa hizo wakati wakiwa kwenye matibabu.

 

2. Kwa matumizi ya dawa hizi za cough seppessants ambayo Ina codeine na dawa nyingine za maumivu haipaswi kutumika kwa chini ya mwaka mmoja, labda kama dawa hizi za cough seppessants hazina cidein na dawa zozote za maumivu watoto wa chini ya mwaka mmoja wanapaswa kutumia. Pia daq hii ya cough seppessants Ina maudhi madogo madogo kwa watumiaji ambayo ni choo kuwa kigumu kwa kitaamu huiitwa conspitation, kuwepo kwa homa hasa kama dawa hii ya cough seppessants Ina dextromethiron na pholcodine.

 

3. Vile vile dawa hii inaweza kuleta kizunguzungu kwa watumiaji, kwa hiyo kwa watumiaji baada ya kuona maudhi madogo madogo kama haya wanapaswa kujua kwamba ni sababu ya matumizi ya dawa na pia dawa hii utumiwa na watu mbalimbali isipokuwa watoto chini ya mwaka mmoja kama dawa hii ya cough seppessants Ina  mchanganyiko wa dawa ya codeine na dawa za kutuliza maumivu za aina ya opioid Analegesuc kwa kitaamu ndiyo aina hizo za kutuliza maumivu zinavyoutwa , kwa hiyo inatakiwa umakini hasa kwa watoto chini ya mwaka mmoja Ili kuepuka madhara mbalimbali ambayo yanaweza kutokea. Na pia wenye aleji ya dawa hii na wenyewe hawapaswi kutumia.

 

4. Vile dawa ya nasal decongestant inasaidia sana katika matibabu ya mafua dawa hii Ina mchanganyiko wa dawa mbalimbali kama vile aromatics inhalation ni dawa ambayo Ina vitu kama mafuta kwa kitaamu huiitwa eucalyptus oil ambapo dawa hii utumia kwa kupuliza sehemu mbalimbali za kwenye pia na pia kama zimebanwa na mafua uweza kuachia na kuwa kawaida tu.

 

5. Vile vile dawa hii ya nasal congestion Ina ania ya dawa kwa kitaamu huiitwa pseudoephedrine ambayo uweza kutumika na kuzuia mafua dawa hiyo Ina dozi mbalimbali yaani kwa watoto na watu wazima, kwa upande wa watu wazima dawa hiyo Ina milligrams sitini na utumiwa mara tatu mpaka nne kwa siku na kwa watoto kuanzia miaka miwili mpaka sita utumia milligrams kumi na tano na matumizi ni kama watu wazima yaani mara tatu mpaka nne kwa siku moja.na wakati mwingine matumizi utegemea hali ya mgonjwa yanaweza kupungua au kuongezeka.

 

6. Vile vile dawa hii huwa na maudhi madogo madogo kama vile mapigo ya moyo kuongezeka, kuwepo kwa wasi wasi, kutotulia sehemu Moja, kuwa na mawazo mbalimbali, kuwepo kwa maupeke kwenye mwili, na pia mkojo kushindwa kutoka, baada ya kukuona dalili kama hizi ni vizuri kuwaona wataalamu wa afya.

 

7. Pia dawa hizi hazipaswi kutumiwa kiholela inapaswa kutumiwa kulingana na wataalamu wa afya Kuna wakati mwingine Kuna watu hawapaswi kutumia na wengine wanapaswa kuitumia. Kwa hiyo kuja kutumia ni vizuri kutumia dawa mgonjwa akiwa hospital. Pia kwa upande wa watoto ni vizuri kwa sababu wengine dawa hii uwafanya kuwa na usingizi na pia kwa wale walio na magonjwa ya akili hasa yanayoleta usingizi ni vizuri kuwapatia dawa hii kwa kipimo na kwa uangalizi kwa sababu dawa hii inaleta usingizi.

 

8. Vile vile kwa wagonjwa wanaotumia dawa za diazepam, phenobarbitone na phynytoin wanapaswa kutumia dawa hii kwa uangalizi maalumu au kupunguziwa kiasi kwa sababu na dawa hizi zina tabia ya kuleta usingizi. Kwa hiyo kama mgonjwa ana dawa nyingine za kifafa na akija kutumia dawa za mfua anapaswa kuwaona wataalamu wa afya au atumie kwa uangalizi.

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Dawa Main: Post File: Download PDF Views 3719

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 Dua za Mitume na Manabii     👉6 Kitau cha Fiqh    

Post zinazofanana:

Ijue Dawa ya lignocaine

Posti hii inahusu zaidi dawa ya lignocaine kama mojawapo ya Dawa ambayo utumika wakati wa upasuaji.

Soma Zaidi...
dawa ya kutibu infection kwenye kizazi nisaidie doctor

Je unasumbuliwa na maambukizi na mashambulizi ya virusi na bakteria kwenye sehemu za siri ama via vya uzazi?. Posti hii inakwenda kuupa ushauri.

Soma Zaidi...
Fahamu dawa ya haloperidol katika matibabu ya akili

Post hii inahusu dawa ya haloperidol katika matibabu ya magonjwa ya akili, ni mojawapo ya dawa ambayo utumiwa na wagonjwa ambao wamechananyikiwa.

Soma Zaidi...
Fahamu Dawa itwayo Diazepam

Diazepam ni nini? Diazepam ni Dawa ambayo Huathiri kemikali kwenye ubongo ambazo zinaweza kukosa uwiano na kusababisha wasiwasi. Diazepam hutumiwa kutibu matatizo ya wasiwasi, dalili za kuacha pombe, au misuli. Diazepam wakati mwingine hutumiwa pamoja n

Soma Zaidi...
Fahamu kuhusu dawa za kifua kikuu

Post hii inahusu dawa za kifua kikuu ni dawa ambazo utumika kutibu kifua kikuu, kwanza kabisa kabla ya kuanza kufahamu dawa hizo ni vizuri kabisa kufahamu kifua kikuu nini hili kuweza pia kufahamu dawa zake.

Soma Zaidi...
Dawa ya Carvedilol na kazi yake.

Posti hii inahusu zaidi dawa ya Carvedilol na kazi yake, ni dawa inayotibu au kuzuia mapigo ya moyo ambayo yako juu na kusababisha kulegeza kwa mishipa ya moyo.

Soma Zaidi...