Fahamu dawa ya hydralazine katika matibabu ya magonjwa ya moyo
Post hii inahusu zaidi dawa ya hydralazine katika matibabu ya magonjwa ya moyo, dawa hii imetoka kwenye kundi la vasodilators, na pia usaidia sana kwenye matibabu ya magonjwa ya moyo.
Fahamu dawa ya hydralazine katika matibabu ya magonjwa ya moyo,
1.kama tulivyoona hapo mwanzoni kwamba dawa hii imetoka kwenye kundi la vasodilators, hii dawa ya hydralazine usaidia katika magonjwa ya presha hasa kama mishipa ya damu inapitisha damu kwa shida kwa hiyo kazi yake ni kurainisha mishipa ya damu Ili iweze kuruhusu dama iweze kupita kwa urahisi kwenye mishipa ya damu kwa hiyo kwa matumizi ya dawa hii watu wengi wameweza kupona na kirudia kwenye hali yao ya Kawaida au wengine ambao wanatumia dawa hii kama sehemu ya matibabu yao ya kila siku dawa hii imeweza kuleta uafadhari.
2. Pia dawa hii na yenyewe Ina maudhi madogo madogo ambayo utokea hasa kwa watumiaji na maudhi hayo utegemea mtu na mtu hasa uwasumbua sana wale wanaoanza matibabu, maudhi madogo madogo hayo ni Kama vile maumivu ya kichwa,na pia kwa sababu dawa hii uweza kurainisha mishipa ya damu na kuruhusu dama kwenda sehemu mbalimbali za mwili Kuna Kipindi mgonjwa anaweza kuonekana amechoka sana na pengine presha kupanda kabisa kwa sababu ya matumizi ya dawa hii ya hydralazine.
3. Vile vile dawa hii Inaweza kuleta kichefuchefu kwa mgonjwa na hatimaye kutapika , maumivu ya tumbo, kuharisha na pengine mwili kuwa na viupele kwa wagonjwa walio wachache wameriport kitendo cha kuvimba mwili hasa kwa wanaoanza kutumia dawa na wakizoea hali uendelea kama kawaida, pamoja na kuona maudhi hayo madogo madogo kama yakitokea kwa mda mfupi na kuisha hapo basi lakini kama yakiendelea na kuleta matatizo kwa mgonjwa ni vizuri kabisa kutoa taarifa kwa wataalamu wa afya Ili kuweza kubadilishiwaa dawa au kwa ushauri zaidi.
4. Pamoja na kufahamu kazi hii ya dawa ya hydralazine sio Vizuri kuitumia dawa hii kiholela Bali ni kwa utaratibu wa wataalamu wa afya,na pia dawa hii inatumika na watu mbalimbali isipokuwa wale we ye presha ya kupanda wanapaswa kutumia dawa hii kwa kuomba ushauri wa wataalamu wa afya.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 web hosting 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
Fahamu dawa zinazopunguza maumivu
Post hii inahusu zaidi dawa zinazofanya kazi ya kupunguza maumivu kwa kawaida dawa hizi ufanya kazi kwa kupitia kwenye mfumo wa fahamu.
Soma Zaidi...Fahamu matumizi ya Dawa iitwayo Aspirin.
Aspirini Ni dawa ya kutuliza maumivu.Majina yanayoaminika zaidi katika kutuliza maumivu sasa yanapatikana kwa njia mbadala inayookoa gharama kwa kutumia Aspirini. Aspirini inayopendwa na familia kwa miongo kadhaa, mara nyingi hutumiwa kupunguza maumivu y
Soma Zaidi...Fahamu dawa ya maumivu aina ya indomethacin
Post hii inahusu zaidi dawa ya kutibu au kutuliza maumivu, kwa majina huiitwa indomethacin ni dawa inayotumika kutuliza maumivu ya Kawaida.
Soma Zaidi...Fahamu dawa za 5-fluorouracil,Tegafur na uracili
Post hii inahusu zaidi dawa za 5-fluorouracil, Tegafur na uracili katika kupambana na kansa.
Soma Zaidi...Njia ya kupitisha dawa kwenye mdomo na vipengele vyake
Posti hii inahusu zaidi njia ya kupitisha dawa kwenye mdomo na vipengele vyake, hii njia dawa umengenywa kwenye tumbo na kupitia kwenye utumbo mdogo na baadae kwenye damu,
Soma Zaidi...