dua ya kuomba jambo ufanikiwe

hii ni damna ya kuomba dua ukubaliwe, dua ya kuomba jambo ufanikiwe

dua ya kuomba jambo ufanikiwe

Naomba kujuwa dua ya kuomba jambo ufanikiwe



Namba ya swali 067

Ili kuomba dua itakayokubaliwa unatakiwa uzingatie adabu za dua, nyakati za kuomba dua pia ujuwe hali zinazozunguruka dua yako. Hapa nitakueleza baadhi ya taratibu za kuomba dua itakayokubaliwa

Zingatia adabu na taratibu za dua kama ifuatavyo:- 1. Omba dua ukiwa twahara
2. Elekea kibla
3. kuwa twahara katika mavazi na mwili
4. Anza na kumsifu Allah (Tahmid, kwa kusema Alhamduliilahi rabbil-'alamiina)
5. Mswalie mtume (Swala ya mtume)
6. waombee dua waislamu wote
7.Taka istighfar kwa kusema Astaghfirullah (mara kadhaa)
8. sasa omba dua yako

Zingatia nyakati za kuomba dua. Nyakati zifatazo dua hukubaliwa rahisi:-
1. siku ya ujumaa
2. usiku wa manane
3. Baada ya Swala
4. Baada ya adhana
5. Wakati ukiwa umefunga
6. Wakati unapofanya jambo jema la kumfurahisha Allah

Pia omba Dua yako katika hali hizi:-
1. ukiwa umefunga
2. baada ya kusoma quran
3. Toa sadaka kisha muombe Allah dua yako
4. Mfanyie wema mtu aliye mbali akikuombea dua yake itakubaliwa.



Namba ya swali 067

Ahsante



Namba ya swali 067

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Sunnah Main: Dini File: Download PDF Views 23065

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi    👉2 Dua za Mitume na Manabii    👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉4 Bongolite - Game zone - Play free game    👉5 Madrasa kiganjani    👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina   

Post zinazofanana:

MAANA YA HADITHI SUNNAH

Maana ya SunnahKilugha: Neno sunnah katika lugha ya Kiarabu lina maana ya mwenendo au mila.

Soma Zaidi...
DUA 94 - 114

DUA ZA KUONDOA WASIWASI, SIHIRI NA UCHAWI 94.

Soma Zaidi...
Maana ya dua na fadhila zake

Dua ni moja ya Ibada ambazo tunatakiwa kuziganya kila siku. Kuna fadhila nyingi sana za kuomba dua. Post hiibitakwenda kukujuza fadhila za kuomba dua.

Soma Zaidi...
Mafunzo ya hadithi zilizochaguliwa

Sunnah na hadithi (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...
BAADHI YA DUA ZA KILA SIKU

BAADHI YA DUA ZA KILA SIKU.

Soma Zaidi...