Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa upele, ni dalili au mwonekano wa mgonjwa wa upele.
1. Kwanza kabisa tunafahamu kabisa mdudu anayesababisha ugonjwa huu kwa kitaalamu huitwa mites sarcoptes scabies, huyu mdudu kwa kawaida akishakomaa utaga mayai kwenye vishimo vidogo vya mwili na kuanza kuishi Humo na kusababisha maumivu makali sana kwa mwathirika hasa kama ugonjwa huu haukutibiwa mapema kwa kuwepo kwa mayai kwenye ngozi usababisha na dalili nyingine kama vile
2. Kuwashwa wakati wa usiku.
Tunajua wazi kuwa wakati wa usiku ni mda ambao unakuwa umetulia sana na mwili pia unakuwa kwenye utulivu Fulani hakuna jua Wala kitu chochote cha kukusumbua mwili kwa hiyo ndipo wadudu Hawa uwa active na kuanza kushambulia na kusababisha kuwepo kwa miwasho na mgonjwa uanza kujikuna mara nyingi na kukosa kusinzia.
3. Hali ya kukosa kusinzia usababisha watoto kusinzia wakati wa mchana au kama wamefikia hatua ya kwenda shule usinzia darasani na kusababisha kupoteza mda wa masomo kwa hiyo ni vizuri kuwatibu watoto kwa tiba Sahihi na kuwafanya watoto waweze kuhudhulia masomo ipasavyo kwa hiyo wazazi wawe mstari wa mbele Ili kulinda na kuwatunza vizuri watoto Ili waweze kuepuka magonjwa kama haya.
4. Kuwepo kwa mikwaluzo kwenye ngozi.
Kwa sababu ya kujikuna sana mara nyingi kunakuwepo na mikwaluzo kwenye sehemu za ngozi na wakati mwingine mikwaluzo uandamana na kutokwa na damu ,hali hii uwanyima Raha watoto kwa sababu mda mwingi wanaendelea na kujikuna sana na pengine wanaweza kuleta maambukizi kwa watoto wenzao na wale wanaoishi nao.
5. Kuwepo kwa vidonda kwenye sehemu mbalimbali za mwili, pindi maambukizi yanapozidi yanasababisha kuwepo kwa vidonda kwenye sehemu mbalimbali za mwili kama vile kwenye vidole, kwenye kiwiko, kwenye tumbo, kwenye kiuno, kwenye chuchu za matiti na sehemu mbalimbali za mwili kwa ujumla, kwa hiyo ni vizuri kutibu kwa sababu hizi dalili zikitokea kwa mtu mmoja kwenda familia ni lazima atawaambukiza na wengine
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Post hii inaenda kuzungumzia zaidi kuhusiana na mimba zinazoharibika . mimba huweza kuaribika au kutoka anzia miezi 3 na kuendelea .
Soma Zaidi...Ugonjwa wa kula kupindukia ni ugonjwa mbaya wa ulaji ambapo mara kwa mara unatumia kiasi kikubwa cha chakula na kuhisi huwezi kuacha kula.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za saratani ya ini, ni baadhi ya Dalili ambazo zinaweza kujitokeza na kuona kwamba mtu fulani ana saratani ya ini.
Soma Zaidi...Je unapata dalili zisizoeleweka ni ni za mimba ama laa. Hapa nitakujuza hali baadhi ya wanawake zinazowatokea.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo chini upande wa kushoto
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia za kutambua Dalili za macho makavu, kama tulivyotangulia kuona kubwa macho kuwa makavu Usababishwa na sehemu ya kuzalisha maji kwenye jicho kushindwa kufanya kazi na jicho hilo huwa kavu na Dalili zake ni kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Utajifunza chanzo cha vidonda vya tumbo, dalili zake, dawa na matibabu yake pamoja na njia za kujilinda na vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...hapa utajifunza maradhi mbalimbali yanatopelekea kuwepo kwa maumivu ya tumbo
Soma Zaidi...Je umeshawaho kujiuliza maswali mengi kihusu fangasi?. Huyu hapa ni mmoja katika waulizaji waliopata kuuliza rundo la maswali haya. Soma post hii kuona nini ameuliza
Soma Zaidi...