Posti hii inahusu zaidi dalili za saratani ya ini, ni baadhi ya Dalili ambazo zinaweza kujitokeza na kuona kwamba mtu fulani ana saratani ya ini.
1. Ngozi kuwa na rangi manjano na uwepo wa macho makavu.
Kwa kawaida ini likishambulia Usababisha ngozi kuwa na rangi ya manjano na pia kwenye macho panakuwepo na ukavu fulani hivi , ukiona mgonjwa wako ana Dalili kama hizi ni vizuri kabisa kufatilia matibabu au kupata ushauri kwa wataalamu wa afya.
2. Kuvimba kwa tumbo.
Kwa kawaida kama kuna maambukizi kwenye inni na hiyo tumbo uvimba sana na hali ya kupumua ubadilika kwa sababu ya kutojisikia vizuri na mgonjwa kwa ujumla huwa najisikii vizuri kwa hiyo vipimo ni lazima.
3. Kuchoka na kuwa dhaifu wa mda mrefu
Kwa kawaida kwa sababu ya kutokuwepo kwa hali ya mwili kutokuwa vizuri kwa hiyo mgonjwa uwa anajihisi dhaifu kwa mda mrefu hii ni kwa sababu ya ini kushindwa kufanya kazi vizuri,
4. Kukosa hamu ya kula na kupelekea kupungua kwa uzito.kwa sababu ya mwili kuwa mzito mgonjwa kwa kawaida ikiwa hamu ya kula pia na kupelekea kupungua kwa uzito.
5. Maumivu ya tumbo hasa katika eneo la kati kwenye upande wa ini kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi kwenye inn.
6. Miguu kuvimba.
Kwa kawaida kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi miguu nayo uanze kuvimba.
7. Kuongezeka kwa kasi ya mapigo ya moyo.
Kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi kwenye ini na vile vile kasi ya mapigo ya moyo nayo uongezeka kwa kasi sana.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyanzo m ali mbali vinavyohisiwa kuwa chanzo cha UKIMWI
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea ikiwa Ugonjwa huu wa ukimwi ukishasmbaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine na kuleta madhara makubwa kama ifuatavyo.
Soma Zaidi... Dalili na ishara za ugonjwa sugu wa figo hukua baada ya muda ikiwa uharibifu wa figo unaendelea polepole. Kupoteza utendakazi wa figo kunaweza kusababisha mrundikano wa majimaji au uchafu wa mwili. Kulingana na jinsi ilivyo kali, upotezaji wa kazi ya
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na maambukizi ya tishu ya matiti ambayo husababisha maumivu ya matiti, uvimbe, joto na uwekundu. Pia unaweza kuwa na Homa na baridi. Ugonjwa huu huwapata zaidi wanawake wanaonyonyesha ingawa wakati mwingine hali hi
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi athari za ugonjwa wa Dondakoo,hali hii utokea iwapo ugonjwa haukutibiwa mapema au umetibiwa lakini bado Kuna matokea hasi ambayo yanaweza kujitokeza kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo, hizi ni njia ambazo zinapaswa kufuatwa ili kutokomeza kabisa maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo.
Soma Zaidi...Malaria ni katika maradhi yanayosumbua sana na kusababisha maradhi ya watu wengi sana duniani.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na kujikinga au kuzuia virusi vya ukimwi.
Soma Zaidi...