Sababu za kuwepo kwa saratani ya inni.

Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali za kuwepo kwa saratani ya ini, saratani hii imekuwa tishio kwa wengi ila ni vizuri kujua baadhi ya sababu ambazo uchangia sana kuwepo kwa tatizo hili la saratani ya inni.

Sababu za kuwepo kwa saratani ya inni.

1. Sababu ya kwanza ni matumizi ya vyakula vyenye kemikali, 

Kwa sababu ya kubadilika kwa mtindo wa maisha vyakula vya kemikali vinatumika sana siku hizi ambapo unakuta mtu anatumia Chipsi,baga, soda na kuku wa kisasa kama mlo wake wa kila siku na chai ni majani na maziwa ya kwenye kopo na mambo mengine kama hayo hali inayosababisha inni kuchoka wakati wa kuchuja kemikali hatimaye kusababisha saratani ya inni.kwa hiyo ni vizuri kuchanganya chakula na kunywa maji kwa wingi ili kuondoa sumu mwilini.

 

2. Matumizi ya mda mrefu wa dawa zenye kemikali bila ya kunywa maji na kufuata mashariti ya wataalamu wa afya.

Kwa kawaida kuna watu wanaotumia dawa zenye kemikali kama za presha, kisukari, na dawa za kuongeza maisha lakini hawanywi maji na kutumia maziwa , hata kama hakuna maziwa i tumia maji tu kwa hiyo matumizi yakiwa ya mda mrefu bila kunywa maji ya kutosha Usababisha saratani ya inii, jamani watumiaji wa dawa za kila siku tumieni maji mengi ya kunywa.

 

3. Matumizi ya pombe kali.

Kuna wakati mwingine kuna matumizi ya pombe kwa mda mrefu tena ile kali pasipo kula chakula kwa hiyo ni vizuri kabisa kupunguza matumizi ya pombe.

 

4. Kuwepo kwa unene na uzito uliopitiliza.

Kwa kawaida unene usababisha kuwepo kwa kiwango kikubwa cha mafuta mwilini na pia uzito mkubwa ni tatizo kweli.

 

5. Kutokunywa vitu vya kutoa sumu mwilini au kutokunywa maji ni tatizo kweli kwa hiyo jaribuni kwa wale wenye ng'ombe kunyweni maziwa kwa wingi na kama hauna ng'ombe au maziwa kunywa maji kwa wingi kila siku walau Glass nane kwa siku na kojoa.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/15/Friday - 09:45:13 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 584


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-