Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya viungo vinavyoathiriwa na ugonjwa wa malaria
Viungo vunavyoathiriwa na malaria.
Kama tulivyoona hapo mwanzo kuwa malaria inaweza kuathiri viungo mbalimbali. Na kama haita tibiwa inaweza kusababisha kifo. Sasa hebu tuone viungo hivyo:-
1.Ubongo; endapo malariaiyafikia kuathiri ubongo hii ni hatuwa mbaya sana. Kwani ionaweza kusababisha vijishipa vidongo kwenye ubongo kuziba hivyo damu na virutubisha havitafikia vyema kwenye ubongo. Ubongo utaanza kudhoofika na mtu kupoteza fahamu. Hali ikiendelea ubongo mgonjwa naweza kupoteza maisha.
2.Endapo malaria haitatibiwa haraka, vijidudu vinaweza kuathiri figo na ini. Vinaweza kuathiri utendaji wa kazi ama kupelekea kufa kabisa kwa figo na ini
3.Mapafu pia huweza kuathiriwa na vijidudu hivi vya malari
4.damu
Matibabu
Fika kituo cha afya jirani yako, upatiwa vipimo kisha tumia dawa. Ama fika duka la dawamueleze akupe dawa ya malaria.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowPosti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa macho, ugonjwa huu kwa kawaida una dalili kuu tano kadri ya maambukizi yanavyoongezeka na madhara yake kwa hiyo tunapaswa kujua dalili hizo Kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Mrija wa mkojo hutoa mkojo nje ya mwili lakini mrija huu unapoziba hufanya utoaji wa mkojo kutoka kwa shida au maumivu
Soma Zaidi...Post hii inahusu dalili za mtu Mwenye ugonjwa wa kisukari, dalili hizi zinaweza kujitokeza Moja kwa Moja mtu akagundua kuwa ana Ugonjwa wa kisukari.zifuatazo ni dalili za ugonjwa wa kisukari.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu Maambukizi kwenye tumbo na kwenye utumbo mdogo,ni Maambukizi ambayo uwa kwenye tumbo na utumbo mdogo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi upungufu wa damu unaosababishwa na minyoo dalili zake na namna ya kumsaidia mgonjwa mwenye tatizo hilo.
Soma Zaidi...Hakuna dawa ya UKIMWI ya kutibu kuondoa virusi mwilini, lakini zipo dawa za kuweza kupunguza makali ya virusi hawa. Hivi unesha jiuliza kuwa je zile dawa zinaongeza damu?
Soma Zaidi...Upungufu wa damu ni tatizo la kiafya, lakini kupunguwa seli nyeupe za damu ni tatizo zaidi, nikwa sabaabu seli hizi ndizo ambazo hupambana na wadudu shambulizi wanapoingia mwilini.
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...