Download kitabu hiki na upate kusoma zaidi ya dua 120, pamoja na darsa mbalimbali za dini ya kiislamu.
Allah ameamuru wajawake wamuombe, na Allah ametoa ahadi ya kujibu maombi ya mwenye kumuomba. Watu wengi leo wamekuwa wakiomba dua kisha hulalamika kuwa hawajibiwi, Je unajua ni kwa nini dua hazijibiwi? Je, unafahamu kuomba dua kama alivyoomba mtume? Je unazijuwa siku na nyakati za siri ambazo dua ndio hujubuwa? Yote haya na mengineyo utayapata kwenye kitabu hiki...
Umeionaje Makala hii.. ?
Post hii itakufundisha maana ya neno sunnah katika Uislamu. Pia utajifunza maana ya neno hadithi katika uislamu
Soma Zaidi...Hizi ni Dua ambazo unatakiwa uziombe wakati wa shida na taabu
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Kama tunavyojifunza katika surat βAlaq (96:4-5), chanzo cha elimu au mkufunzi wa binadamu ni Allah (s.
Soma Zaidi...