Hadithi ya pili: sifa za muumini wa kweli
Sunnah na hadithi (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)
- Hadith ya Pili: Sifa za Muumini wa kweli.
Kutoka kwa Ibn Umar (r.a) amesema: Kasema mjumbe wa Mwenyezi Mungu;
“Muislamu wa kweli ni yule wanaosalimika Waislamu kutokana na (maudhi) ya ulimi wake na mkono wake. Na muumini wa kweli ni yule wanaomuaminisha watu juu ya damu zao na mali zao.”
(Muttafaqun Alayhi)
Mafunzo ya Hadith kwa Ufupi:
- Haifai kuwaudhi, kuwafitinisha, n.k. waislamu, wanaadamu wengine pamoja viumbe kwa ujumla.
- Miongoni mwa maudhi ya ulimi ni kusengenya, kukejeli, kufitinisha, kupigana, kudhulumu na kuitanana majina mabaya.
- Uislamu ni dini ya mapenzi, huruma, kusaidiana na kushirikiana.
- Muumini wa kweli ni muaminifu kwa kila anachosema na kutenda pia.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 web hosting 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 ai web app
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 web hosting 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Dua Sehemu ya 02
Zijuwe nyakati ambazo dua inakubaliwa kwa haraka zaidi. Zijuwe nyakati ambazo ukiomba dua hitakubaliwa.
Soma Zaidi...Al-Arba uwn An-Nawawiyyah hadithi ya 7: Nasaha katika dini
Post hii itakufundisha umuhimu wa nasaha katika dini
Soma Zaidi...Mafunzo ya hadithi zilizochaguliwa
Sunnah na hadithi (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...