Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya viungo vinavyoathiriwa na ugonjwa wa malaria
Viungo vunavyoathiriwa na malaria.
Kama tulivyoona hapo mwanzo kuwa malaria inaweza kuathiri viungo mbalimbali. Na kama haita tibiwa inaweza kusababisha kifo. Sasa hebu tuone viungo hivyo:-
1.Ubongo; endapo malariaiyafikia kuathiri ubongo hii ni hatuwa mbaya sana. Kwani ionaweza kusababisha vijishipa vidongo kwenye ubongo kuziba hivyo damu na virutubisha havitafikia vyema kwenye ubongo. Ubongo utaanza kudhoofika na mtu kupoteza fahamu. Hali ikiendelea ubongo mgonjwa naweza kupoteza maisha.
2.Endapo malaria haitatibiwa haraka, vijidudu vinaweza kuathiri figo na ini. Vinaweza kuathiri utendaji wa kazi ama kupelekea kufa kabisa kwa figo na ini
3.Mapafu pia huweza kuathiriwa na vijidudu hivi vya malari
4.damu
Matibabu
Fika kituo cha afya jirani yako, upatiwa vipimo kisha tumia dawa. Ama fika duka la dawamueleze akupe dawa ya malaria.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1776
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi
👉2 Simulizi za Hadithi Audio
👉3 Kitabu cha Afya
👉4 Kitau cha Fiqh
👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉6 Madrasa kiganjani
Homa ya manjano, dalili za homa ya manjano na namna ya kujikinga na homa ya manjano
HOMA YA MANJANO (yellow fever)Homa ya manjano ni maradhi yanayosababishwa na virusi na husambazwa na mbu. Soma Zaidi...
Yajuwe maradhi ya PID yaani uvimbe kwenye fupanyonga
Posti inazungumzia Ugonjwa kwenye fupa nyonga ambapo kitaalamu hujulikana Kama {Pelvic inflammatory (PID) ni maambukizi ya viungo vya uzazi vya mwanamke. Soma Zaidi...
Ugonjwa wa kiseyeye upoje na ni zipi dalili zake
ugonjwa wa kiseyeye, chanzo chake vipi unatokea na ni zipi dalili zake. Yote haya utayapata hapa Soma Zaidi...
Ugonjwa wa Saratani ya ini.
Saratani ya ini ni Saratani inayoanzia kwenye seli za ini lako. Soma Zaidi...
Dalili na Ishara za mawe kwenye figo
Mawe kwenye figo yana sababu nyingi na yanaweza kuathiri sehemu yoyote ya njia yako ya mkojo kutoka kwa figo hadi kibofu chako. Soma Zaidi...
Je maumivu juu ya kitovu ni miongoni mwa dalili za mimba?
Kama unahisi maumivu ya tumbo huwenda umejiuliza swali hili ukiwa kama mwanamke "Je maumivu juu ya kitovu ni miongoni mwa dalili za mimba?". Post hii inakwenda kujibu swali hili Soma Zaidi...
Walio katika hatari ya kupata magonjwa ya ngono
Posti hii inahusu zaidi watu walio kwenye liski ya kupata magonjwa ya ngono, ni watu wanaofanya mambo yanayosababisha kupata magonjwa ya ngono. Soma Zaidi...
Ugonjwa wa Kuvimba ubongo (Encephalitis)
Post hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa kuvimba kwa ubongo ambao kitaalamu huitwa Encephalitis, Ni Maambukizi ya virusi ni sababu ya kawaida ya hali hiyo. Ugonjwa wa Kuvimba ubongo unaweza kusababisha dalili zinazofanana na Homa, kama vile Homa au Soma Zaidi...
Sababu za kuwepo kwa saratani ya inni.
Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali za kuwepo kwa saratani ya ini, saratani hii imekuwa tishio kwa wengi ila ni vizuri kujua baadhi ya sababu ambazo uchangia sana kuwepo kwa tatizo hili la saratani ya inni. Soma Zaidi...
Fangasi wa kwenye kucha: dalili zake, na kumbambana nao
Hawa ni fangasi ambao wanashambulia sana kwenye kucha za vidole vya mikonobna miguu. Soma Zaidi...
Hatua tatu anazozipitia mgonjwa wa tauni
Posti hii inahusu zaidi njia au hatua tatu muhimu anazopitia Mgonjwa wa gauni, kuanzia kwa Maambukizi mpaka kwenye hatua ya mwisho hasa kama Ugonjwa huu haujatibiwa mapema. Soma Zaidi...
Njia za kutibu saratani
Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za matibabu ya ugonjwa wa saratani,ni ugonjwa ambao unaweza kupona ikiwa umegundulika mapema katika hatua za mwanzo na kama ugonjwa huu umefikia hatua za mwisho Tiba yake huwa ni kupunguza makali ya ugonjwa. Soma Zaidi...