Kama unahisi maumivu ya tumbo huwenda umejiuliza swali hili ukiwa kama mwanamke "Je maumivu juu ya kitovu ni miongoni mwa dalili za mimba?". Post hii inakwenda kujibu swali hili
SWALI
Je maumivu juu ya kitovu ni miongoni mwa dalili za mimba?
JIBU:
Maumibu ya tumbo ni katika dalili za mimba. Maumivu ya tumbo huweza kutokea si kwa mimba changa tu bali hata mimba iliyokomaa. Maumivu ya tumbo huendelea kusumbuwa hata wanaokaribia kujifunguwa.
Kwa mimba zilizo changa maumivu ya tumbo huwenda yakawa katika dalili za mwanzoni kuziona kwa baadhi ya wanawake.
Maumivu haya yanaweza kuwa chini ya kitomvu, ama upande wa kushoto na hata kulia. Itambulike kuwa maumivu ya tumbo si dalili pekee ya ujauzito.
Maumivu ya tumbo pia yanaweza kuwa ni dalili ya:-
1. Typhod
2. UTI
3. PID
4. Shida kwenye kizazi
5. Ama shida kwenye mfuno wa chakula kama kujaa gesi na kadhalika.
NINI UFANYE:
Kama unahisi nibujajzito kitu cha kufanya ni kupata vipimo. Vyema ukafika hospitali kwa vipimonzaidi.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza vitu vinavyosababisha maumivu ya tumbo chini ya kitovu
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Ugonjwa wa ukoma ni Ugonjwa unaosababishwa na bacteria anayejulika kama mycobacterium leprae.
Soma Zaidi...postii hii inshusiana na dalili na matatizo ya pepopunda. Pepopunda ni ugonjwa hatari wa kutishia maisha unaosababishwa na sumu ya tetanospasmin inayozalishwa katika majeraha yaliyoambukizwa na kizuizi cha bacillus clostridia. Bakteria ya pepopunda hu
Soma Zaidi...Maumivu ya mgongo yanaweza kuwa ni dalili inayoonyesha tatizo fulani la kiafya ikiwemo magonjwa au majeraha.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu sana kuhusu ugonjwa wa ebora. Ugonjwa huu usababishwa na virusi.Virusi hivyo husababisha kutokwa na damu nyingi mwilini kutokana na kupasuka kwa mishipa ya damu
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na sababu zinazopelekea kukosa choo ,yaani kinyesi kuwa kigumu au kukosa kabisa choo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kama mtu hajatibiwa ugonjwa wa kichaa cha mbwa.
Soma Zaidi...Hepatitis C ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoshambulia ini na kusababisha kuvimba. Watu wengi walioambukizwa na virusi vya Hepatitis C (HCV) hawana dalili. Kwa kweli, watu wengi hawajui kuwa wana maambukizi ya Hepatitis C hadi uharibifu wa ini
Soma Zaidi...