Posti hii inahusu zaidi uhusiano uliopo kati ya Mama Mjamzito na kibofu cha mkojo.ni mwingiliano unaokuwepo ambao usababisha Mama kukojoa sana wakati wa ujauzito.
1. Kwanza kabisa tunapaswa kufahamu kuwa kibofu cha mkojo na tumbo la uzazi kwa kawaida vinakaribiana kwa hiyo mimba ikikua na hivyo hivyo na kibofu cha mkojo ukandamizwa hali ambayo ufanya mama akojoe wakati wa ujauzito kwa sababu mtoto ashakuwemio kwenye mlango wa kizazi.Kwa akina Mama wasihofu au wasishangae kuona tatizo la kukojoa mara kwa mara inalowatokea.
2. Na pia Kuna wakati mwingine mama akicheka kwa nguvu na pia mkojo unaweza kupita na kutoka nje hali hii utokea kwa sababu kibofu cha mkojo kípo karibu.
3. Kwa hiyo akina Mama waache tabia za kutumia dawa za kienyeji wakidhani wanaweza kupata uponyaji.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Posti hii inahusu zaidi uzazi wa mpango kwa njia ya kumwaga shahawa nje, hii ni njia mojawapo kati ya njia za uzazi wa mpango ambapo mwanaume humwaga nje mbegu ili asimpatie Mama mimba.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi vyanzo vya mwanamke kushindwa kupata ujauzito, kwa sababu kuna sababu nyingi ambazo Usababisha mwanamke kushindwa kupata ujauzito kama tutakavyoona hapo mbeleni
Soma Zaidi...Inashangaza sana, wakati wengine wanahangaika kutafutavijauzito kwa gharama yoyote ile, kuna wengine wanataka kutoa ujauzito kwa gharama yeyote ile. Unadhani njia za kienyeji sa kutoa mimba ni salama?
Soma Zaidi...inaweza kutokea kuwa mtoto aliye tumboni akaishiwa maji hata kabla ya kuzaliwa. yes hali hii huweza kuwapata baadhiya watoto.
Soma Zaidi...Kuna uwezekano una ujauzito ila hujajijuwa, huwenda hujapata dalili zozote. Unataka kujuwa kama una ujauzito baada ya tendo la ndoa.
Soma Zaidi...