image

Nini hutokea unapokuwa kwenye ndoto ukiwa usingizini umelala

Ndoto ni moja ya mamba ambayo yanatokea mwanadamu na sayansi haina uelewa hasa nini hutokea. Hata hivyo yapo machache tafiti za kisayansi zinatueleza.

Kuhusu ndoto,  tafiti za kisayansi zinasema kuwa: 

πŸ‘Œ Ubongo umegawanyika katika sehemu tatu wakati unapokuwa umelala usingizi na ukaanza kuota ndoto. 

 

😴 Sehemu ya kwanza kutengeneza stori, mara nyingi stori hizi hutokana na maisha ya kawaida kama kusikia,  kuona mwenyewe,  kuhisi ama kujuwa,  na hata kutamani. 

 

πŸ˜‹Sehemu nyingine ya ubongo huwa ni muhusika wa hiyo ndoto. Sehemu hii huleta furaha ma watoto ni mpya kufurahisha,  na hutishika,  huhuzunika,  hushangaa na zaidi. 

 

πŸ˜‚ Ni sawa na kusema kama sehemu moja ya ubongo inasimulia na nyingine inasikiliza. Kwahiyo sehemu hizi mbili zinashirikiana. 

 

😁 Sehemu ya tatu ni sehemu inayohusika na kufikiri na kutenda. Sehemu hii wakati upo kwenye ndoto inakuwa imelala yaani haipo kazini. 





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Jifunze Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 658


Sponsored links
πŸ‘‰1 Madrasa kiganjani     πŸ‘‰2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     πŸ‘‰3 Simulizi za Hadithi Audio     πŸ‘‰4 Kitabu cha Afya     πŸ‘‰5 Kitau cha Fiqh     πŸ‘‰6 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Jinsi ya kumsaidia Mtoto mdogo aliyekabwa na kitu kooni
Mfano wa kitu kinachoweza kumaba mtoto kooni ni kama chagula kigumu, pesa ya sarafu, kijiwe na mengineyo. Endapo hili litataokea msaada wa haraka unahitajika kwa ulazima. Soma Zaidi...

Kwanini najihisi mchovu alafu tumboni kunavitu navihisi vinacheza sielewi
Habari yako Dokta. Soma Zaidi...

NYANJA ZA AFYA
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

KAULI ZA WATU MASHUHURI KUHUSU AFYA
Soma Zaidi...

KITABU CHA MATUNDA
Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho Soma Zaidi...

Kitabu cha Afya 03
Yajuwe mambo yanayoathiri afya ya miili yetu, jifunze mambo mengi kuhusu afya. Soma Zaidi...

AFYA YA UZAZI, ULEZI, BABA, MAMA NA MTOTO PAMOJA NA MAHUSIANO
Soma Zaidi...

kitabu cha matunda
Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho Soma Zaidi...

MAGONJWA HATARI YA MOYO NA NAMNA YA KUKABILIANA NAYO: PRESHA, SHINIKIZO LA MOYO NA SHAMBULIO LA MOYO
Soma Zaidi...

Kitabu Cha Darsa za Afya
Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet. Soma Zaidi...

AINA ZA VYAKULA
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

Mambo yanayohitajika kabla ya kuanza upasuaji
Posti hii inahusu zaidi mambo yanayohitajika kabla ya kuanza upasuaji ni mambo muhimu ambayo yanapaswa kufanyika kwanza na baadaye upasuaji unaweza kuendelea. Soma Zaidi...