Habari yako Dokta.
Habari yako Dokta...!!
Kwanini najihisi mchovu alafu tumboni kunavitu navihisi vinacheza sielewi
Namba ya swali 007
Pole sana
Namba ya swali 007
Pia Mate kujaa mdomoni kutamani baadhi ya vyakula nanimetoka sikuzangu mda kama wiki mbili zilizopita
Namba ya swali 007
Pole sana, una muda gani na tatizo hilo
Namba ya swali 007
Wiki yapili sasa
Namba ya swali 007
Ulikutana na mwenzio lini? na Siku ya mwisho kuona hedhi ilikuwa lini?
Namba ya swali 007
Lakini hata kabla ya kuona hedhi yangu ya mwezi uliopita nilikuwa nahisi hali kamahii mara maziwa kuuma na kujaa napia hii hedhi ilikuwa inatoka nyepesi Sana sio kawaida yadamu inatakiwa iwe nzito
Namba ya swali 007
Ni mabadiliko ya homoni katika mwili wako ndio yanasababisha hayo. Inaweza kuwa sababu. Hali inaweza kukaa sawa baada ya muda.
Sababu nyingine ni kama:
1. Matumizi ya dawa za uzazi wa mpango
2. Maradhi ya ovari
3. Huwenda una PID (mashambulizi ya bakteria)
Namba ya swali 007
Mimba yangu yakwanza nilikuwa ninaujauzito lakini niliingia kwenye siku zangu takribani miezi mitata then ikakata mpaka nilivyo jifungua
Namba ya swali 001
Siinatokeaga kwamba kunamwanamke anaujauzito lakini anaona siku zake kamakawaida au kunakuwa na tatizo
Namba ya swali 001
Hedhi kuwa nyepesi inaweza kuwa ni kwa sababu mwezi uliopita hakuna yai likilo komaa, ama kuna sawa za uzazi wa mpango unatumia. Ama lia ulikuwa na mawazo yaliyokusumbua. Maumivu ya matiti, na kichefuchefu ijapokuwa ni dalili za ujauzito lakini pia huashiria mabadiliko ya homoni, ama maradhi katika mfumo wa uzazi kama maradhi ya ovari. Kuhisi vitu kutembea inawwza kuwa ni kwa sababu ya gesi
Namba ya swali 001
Ndio upo uwezekano huo, ana ujauzito na anapata siku kwa uchache, na damu hii ni tofauti na ya hedhi. Kitaalamu inafahamika kama implantation bleeding
Namba ya swali 001
Nimekuelewa. Nina swali lingine dokta
Namba ya swali 001
yes Uliza tafadhali
Namba ya swali 001
Kwanini natokwa na uchafu mweupe sehem za Siri haushi
Namba ya swali 001
Umepima PID?
Namba ya swali 001
Nilikuwa na UTI lakini niliitibu
Namba ya swali 001
Fika kituo cha Afya kisha pima PID na uhakikishe tena kama UTI ilikwisha kabisa
Namba ya swali 001
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Umeionaje Makala hii.. ?