Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
JINSI YA KUTUMA SMS NDEFU
Inatokea wakatifulani simu yako ya smart phone inagoma kutuma sms ndefu na inakwambia "sms converted to multmedia". Hili hutokea sana pale unapokopi sms ndefu kutoka whatsap, fb n.k na kuja kuipest katika uwanja wa meseji za kawaida. Punde badala ya kuipest inabadilishwa kuwa multmedia.
Tatizo hili linaboa zaidi pale unapoipenda text kutoka kwenye mitandao ya kijamii kama whatsap na unataka kushea kwa ambaye si mtumiaji wa mitandao hiyo hivyo hutokea pindi unapoipest tu katika uwanja wa sms za kawaida inakuandikaia sms converted to multmedia na hapa inashindwa kutuma text hiyo kwa njia za kawaida.
vinsi ya kutatuwa tatizo hili.
zipo njia kadhaa za kulifaniskisha hili ila njia ya urahisi na haraka zaidi ni kutuia application za kutuma sms ndefu kwa mfano BIG SMS. fuata hatua zifuatazo kuweza kutatua tatizo hili
1.nenda playstore ukadaunlod big sms au bofya hapa.
2.install big sms
3.open
4.ingiza sms yako na namba ya mpokeaji
5.tuma.
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kujua Kama simu yako ina virus
Soma Zaidi...NJIA RAHISI YA KUDOWNLOAD VIDEO YOUTUBE Teknolojia ya mawasiliano ni muhimu katika kuhakikisha kuwa ulimwengu unafikika kama kijiji kimoja na hapa ndipo unapata maana halisi ya neno UTANDAWAZA yaani kwa lugha ya kimombo ni globalization.
Soma Zaidi...makala hii itakuelezea mambo makuu ambayo ni hatari kwa usalama wa betri ya kifaa chako
Soma Zaidi...Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
Soma Zaidi...Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujilinda na malware
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukupa elimu kuhusu chanzo cha tatizo la computer au simu yako
Soma Zaidi...