Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
UTA JUAJE KAMA SIMU AU KOMPYUTA YAKO INA VIRUSI?
Katika post hii vip utaweza kujuwa kuwa kifaa chako kina virusi.Malware ni pamoja na virusi worm na trojan. Wote hawa hwanaweza kuharibu mafaili katika kifaa chako. Ila jambo ya kujuwa ni kuwa huwa wana baadhi ya sifa za kufanana wanapokuwa wanadhuru kifaa chako.Kwa kutumia mfanano huo utaweza kugunduwa uvamizi katika kifaa chako.
' ' ' ' ' 'NJIA ZA KUTAMBUWA VIRUSI KATIKA KIFAA CHAKO:
1.Kifaa chako kutokuwa na kasi katika ufanyaji kazi'(slow);'Hapa inaweza ikatokea unabonyeza batani lakini inachelewa kufanya kazi. Wakati mwengine unaweza ukabonyeza batani ya kuangalia meseji lakini ikachelewa kufunguka mpaka unasubiria kwa muda kidogo.
Ijapokuwa tatizo la kifaa chako kuwa slow linaweza kusababishwa na mabo mengine kama vile'RAM, kuwepo kwa Spyware, na kujaa kwa hard disk,'lakini kuwepo kwa virusi huwa ni chanzo kikubwa kama RAM na Hard disk ikawa safi yaani ikawa na uwezo wa kutoshelezea mahitaji yako.
kuweza kutatuwa tatizo hili tulisha eleza katika baadhi ya post zetu, ila kwa ufupi hakikisha kifaa chako kina nafasi ya kutosha katika memory yake au hard disk. Hkikisha mstari mwekundu wa kuonesha kuwa memory au Hard disk imejaa haupo, Hakikisha kompyuta yako ina RAM ya kutosha kwa mahitaji ya kifaa chako. Skann virusi kwa kutumia ant virus iliyo madhubuti\ na iliyo up to date.
2. Kuchelewa kufunguwa internet,'Hapa huwa kifaa chako unapofunguwa intanet kinachelewa kuload. inatokeaa unabonyeza batani ya kusearch lakini unasubiria muda mrefu. Unapokuwa unadownload kifaa chako kinachelewa sana kudawnload. Kwa ufupi intanet kuwa slow husababishwa na kuwepo kwa virusi kwenye kifaa chako.
Ijapokuwa zipo sababu zingine zinazosababisha kifaa chako kuwa slow kwenye intanet kama vile'netwprk kuwa kidogo. HIvyo kabla haujajiridhisha kuwa kifaa chako kina virusi kwanza hakikisha kuwa unamtandao wa kutosha kwenye kifaa chako. Pia hakikisha umeruhusu 3G au 4G katika kifaa chako. Kama itakuwa bado slow anza taratibu za kuondowa virusi katika kifaa chko.
3. Program kujifunguwa zenyewe;'Hapa inatokeya baadhi ya program katika kifaa chako ziajifunguwa zenyewe bila ya kuruhusiwa. Hiki ni kiashiria kimojawapo cha kuwepo kwa virusi katika kifaa chako. Jambo la kufanya hapa ondowa proram hizo zinzojifunguwa zenyewe kisha skan viruri katika kifaa chako.
Tatizo la kuwa na virusi katika vifaa vya kielectronoc ni lakawaida, na ni vigumu kuliepuka kabisa. Jambo la kufanya ki kuwa na utaratibi wa kutazama kifaa chako kila wakati kama kuna athari yoyote. kuwa na utaratibu wa kuskani kifaa chako. Au ruhusu'auto scan. yaani kifaa chako kiwe kinajiskani chenyewe kulingana na muda utakaotaka. Jambo la kuzingatia zaidi hapa ni kuhakiisha ant virusi uliyo nayo ipo vizuri kwa kufanya kazi hii.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa
Mwandhishi Tarehe 2018-08-01 Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 141
Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani
👉2 kitabu cha Simulizi
👉3 Kitau cha Fiqh
👉4 Kitabu cha Afya
Mpangilio wa quran ni wa kipekee na uliotumia ujuzi mkubwa
Soma Zaidi...
CHAPTER TWO: SAFETY IN OUR ENVIRONMENT
PART ONE: FIRST AID MEANING AND IMPORTANCE OF THE FIRST AID First aid this is the special help or assistance given to a sicker or an injured person until full medical treatment is available. Soma Zaidi...
RAJABU ATHUMAN MAHEDE,(MAARUFU KAMA MWALIMU RAJABU ATHUMANI MAHEDE, AU OSTADHI RAJABU ATHUMANI MAHEDE)
Soma Zaidi...
NECTA ENGLISH STANDARD SEVEN 2010 (NECTA PAST PAPERS FOR ENGLISH SUBJECT)
Soma Zaidi...
STANDARD FOUR ENGLISH TEST 0010
Soma Zaidi...
school makataba
1. Soma Zaidi...
GEOGRAPHY NECTA PAST PAPERS REVIEW PAPERR 06
199. Soma Zaidi...
What is Geography?
What is geography? Geography is a study of man and his or her environment.. Soma Zaidi...
English tenses test 001
Soma Zaidi...
NECTA ENGLISH STANDARD SEVEN(NECTA PAST PAPERS FOR ENGLISH SUBJECT)
Soma Zaidi...
MAAJABU YA VIUMBE: TEMBO, NYOKA, MBU, SIMBA, CHUI, TAIGA, FARASI, NGAMIA NA WANYAMA WENGINE
Soma Zaidi...
Chanzo
Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta.. Soma Zaidi...