ninasumbuliwa Sana na mapunye ya kichwani nimetumia dawa takribani miaka 3

Habari, samahani ninasumbuliwa Sana na mapunye ya kichwani nimetumia dawa takribani miaka 3 ila yanapona Tena baada ya Muda flani yanatokea.

ninasumbuliwa Sana na mapunye ya kichwani nimetumia dawa takribani miaka 3

Habari, samahani ninasumbuliwa Sana na mapunye ya kichwani nimetumia dawa takribani miaka 3 ila yanapona Tena baada ya Muda flani yanatokea. Nitumie dawa gani? MsaadaNamba ya swali 015

Pole sanaNamba ya swali 015

Fika kituo cha afya, zungumza na daktari kisha muombe akuandikia dawa za kunywa ama sindanoNamba ya swali 015Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 127


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-