Mafunzo Yatokanayo na Historia ya Nabii Salih(a.s)

Mafunzo Yatokanayo na Historia ya Nabii Salih(a.s)

Mafunzo tuyapatayo hayatofautiani na yale yatokanayo na Historia ya Nabii Hud(a.

Jiunge nasi WhatsApp
Upate Update zetu

Mafunzo Yatokanayo na Historia ya Nabii Salih(a.s)

Mafunzo Yatokanayo na Historia ya Nabii Salih(a.s)

Mafunzo tuyapatayo hayatofautiani na yale yatokanayo na Historia ya Nabii Hud(a.s).



Mafunzo ya ziada ni kuwa:

(i) Maendeleo ya sayansi na teknolojiahayana maana yoyote
ya amii kama hayatatumiwakwa ajili ya kusimamisha ukhalifa utakaotengeneza mazingira ya kuwepo kwa amani ya kweli.



(ii) Hivi leo maendeleo ya sayansi na teknolojia imekuwa ndio silaha ya kuendeleza dhuluma na maangamizi ya mamilioni kwa mamilioni ya watu wasio na hatia.



(iii) Pamoja na maendeleo ya sayansi na teknolojia waliyonayo matwaghuti hivi leo,Waislamu wakijizatiti na kufanya subira watawashinda matwaghuti na kusimamisha ukhalifa kama ilivyokuwa kwa Nabii Hud(a.s) na Salih(a.s) kwa msaada wa Allah(s.w). Rejea Qur-an (8:59-60, 66)



                   

Download Post hii hapa

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Sira Main: Dini File: Download PDF Views 1132

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game    👉2 Kitau cha Fiqh    👉3 Madrasa kiganjani    👉4 Kitabu cha Afya    👉5 kitabu cha Simulizi    👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)   

Post zinazofanana: