Kutuma sms ndefu

Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..

Kutuma sms ndefu

UWANJA WA TEKNOLOJIA

Sehemu ya 11

.

JINSI YA KUTUMA SMS NDEFU
Inatokea wakatifulani simu yako ya smart phone inagoma kutuma sms ndefu na inakwambia "sms converted to multmedia". Hili hutokea sana pale unapokopi sms ndefu kutoka whatsap, fb n.k na kuja kuipest katika uwanja wa meseji za kawaida. Punde badala ya kuipest inabadilishwa kuwa multmedia.

Tatizo hili linaboa zaidi pale unapoipenda text kutoka kwenye mitandao ya kijamii kama whatsap na unataka kushea kwa ambaye si mtumiaji wa mitandao hiyo hivyo hutokea pindi unapoipest tu katika uwanja wa sms za kawaida inakuandikaia sms converted to multmedia na hapa inashindwa kutuma text hiyo kwa njia za kawaida.

vinsi ya kutatuwa tatizo hili.
zipo njia kadhaa za kulifaniskisha hili ila njia ya urahisi na haraka zaidi ni kutuia application za kutuma sms ndefu kwa mfano BIG SMS. fuata hatua zifuatazo kuweza kutatua tatizo hili

1.nenda playstore ukadaunlod big sms au bofya hapa.
2.install big sms
3.open
4.ingiza sms yako na namba ya mpokeaji
5.tuma.



        

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Teknolojia Main: Jifunze File: Download PDF Views 2284

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi    👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    👉3 Bongolite - Game zone - Play free game    👉4 Madrasa kiganjani    👉5 Kitau cha Fiqh    👉6 Kitabu cha Afya   

Post zinazofanana:

EPUKA MALWARE (VIRUSI, WORM NA TROJAN UKIWA MTANDAONI)

Malware ni neno pana na watu wengi si wenye kulitumia.

Soma Zaidi...
Utajiaje kama simu/kompyuta ina virusi

Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..

Soma Zaidi...
Utunzaji wa betri la kifaa chako

Posti hii inakwenda kukupa elimu kuhusu utunzaji wa betri la kifaa chako

Soma Zaidi...
Sababu za simu kusumbua mtandao

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu sabau za simu kusumbua mtandao

Soma Zaidi...
NINI HATMA YA FACEBOOK BAADA YA KUFA KWAKO? nini kitatokea kwenye akaunti yako ya fesibuku (facebook)

Facebook hawana mpango wa kufunga akaunti ambazo hazijatumiwa kwa muda mrefu, haijalishi akaunti ni ya marehemu ama yupo hai.

Soma Zaidi...
Simu au Kompyuta inastak? (inasumbua)

Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..

Soma Zaidi...
JE NITUMIE SIMU YANGU WAKATI INACHAJI?

Watu wengi wamekuwa wakijiuliza swali hili.

Soma Zaidi...
Jinsi ya kutuma sms ndefu

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kutuma sms ndefu

Soma Zaidi...