Najis nina fangasi nawashwa sehem za sili pia  korodan zinawaka kama moto pia nahsi kupungukiwa nguvu

Najis nina fangasi nawashwa sehem za sili pia korodan zinawaka kama moto pia nahsi kupungukiwa nguvu

Jiunge nasi WhatsApp
Upate Update zetu

Najis nina fangasi nawashwa sehem za sili pia korodan zinawaka kama moto pia nahsi kupungukiwa nguvu

Najis namimi ninafangasi mana kunabaazi ya dalili ulzo sema ninazo nawashwa sehem za sili pia kunawakat korodan zinawaka kama moto pia nahsi kupungukiwa nguvu za kiume naitaji ushauli namatibabu pia



Namba ya swali 018

Ndio... Huweda kweli ua fangasi. hakikisha unavaa nguo kavu na zilizo safi. Fika duka la dawa tumia dawa ukiwa upo safi, pia usivae nguo nyingi na zenye kutia joto. No vyema ukafika kituo cha afya kwa uangalizi zaidi na matibabu ya uhakika.



Namba ya swali 018

Na kuhusu nguvu za kiume



Namba ya swali 018

Fangasi hawaathiri nguvu za kiume, ila wanaweza kukusababisha usifurahie tendo, huwenda wakakuathiri kisaikolojia na ukajikuta unashindwa kumridhisha mwenzio. Jitahidi kutibu fangasi, huwenda ukaona mabadiliko chanya



Namba ya swali 018

Sawa nitafanya hivyo



Namba ya swali 018

Karibu tena



Namba ya swali 018

Download Post hii hapa

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: magonjwa Main: Afya File: Download PDF Views 805

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya    👉2 Madrasa kiganjani    👉3 kitabu cha Simulizi    👉4 Kitau cha Fiqh    👉5 Simulizi za Hadithi Audio    👉6 Bongolite - Game zone - Play free game   

Post zinazofanana:

Dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanaume
Dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanaume

Posti hii inakwenda kukuletea dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanaume

Soma Zaidi...
Ugonjwa wa dondakoo
Ugonjwa wa dondakoo

Dondakoo ni ugonjwa mbaya unaosababishwa na sumu inayotengenezwa na bakteria. Husababisha mipako nene nyuma ya pua au koo ambayo inafanya kuwa ngumu kupumua au kumeza. Inaweza kuwa mauti.

Soma Zaidi...
Sababu za Kuvimba kwa kope.
Sababu za Kuvimba kwa kope.

Post hii inazungumzia kuhusiana na Sababu zinazopelekea kuvimba kwa kope, kawaida huhusisha sehemu ya kope ambapo kope hukua na kuathiri kope zote mbili. Pia hutokea wakati tezi ndogo za mafuta ziko karibu na msingi wa kope huziba. Hii inasababisha kuw

Soma Zaidi...
Athari za Ugonjwa wa herpes simplex kwa watoto wadogo.
Athari za Ugonjwa wa herpes simplex kwa watoto wadogo.

Posti hii inahusu zaidi athari za Ugonjwa wa herpes simplex kwa watoto wadogo, tunajua kubwa mama kama ana ugonjwa huu anaweza kumwambikiza mtoto na mtoto akazaliwa na Ugonjwa huu.

Soma Zaidi...
maumivu makali sana juu ya tumbo yn kama kuna moto hivi na mgongon kama unadungwa sindano hivi je hizo ni dalili za vidonda vya tumbo?
maumivu makali sana juu ya tumbo yn kama kuna moto hivi na mgongon kama unadungwa sindano hivi je hizo ni dalili za vidonda vya tumbo?

Dr huwa nasikia maumivu makali sana juu ya tumbo yn kama kuna moto hivi na mgongon kama unadungwa sindano hivi je hizo ni dalili za vidonda vya tumbo?

Soma Zaidi...
dalili za mwanzo za ukimwi kwa mwanamke
dalili za mwanzo za ukimwi kwa mwanamke

Katika makala hii utakwenda kuzijuwa baadhi ya dalili za ukimwi ama HIV kwa mwanamke

Soma Zaidi...
MATIBABU YA VIDONDA VYA TUMBO
MATIBABU YA VIDONDA VYA TUMBO

MATIBABU YA VIDONDA VYA TUMBO Matibabu ya vidonda vya tumbo inategemea sababu.

Soma Zaidi...