Kuepuka mabishano na madhara ya kugombana

Kuepuka mabishano na madhara ya kugombana

16.

Jiunge nasi WhatsApp
Upate Update zetu

Kuepuka mabishano na madhara ya kugombana

16. Kuepuka Mabishano


Mabishano husababisha ugomvi, maudhi au kudharauliana. Mabishano yaweza kutibua mahusiano mzuri kati ya watu. Hivyo Uislamu unatukataza kubishana. Tunatakiwa tuzungumze na watu na kufahamishana mambo kwa hoja na sio kwa mabishano. Tunafundishwa katika Qur-an kuwa tukizungumza na watu ambao hawataki kuelewa bali wanafurahia ubishi tu, basi tusiendelee kuzungumza nao. Bali tuagane nao kwa salama.

β€œNa waja (wema) wa Rahman ni wale wanaotembea katika ardhi kwa unyenyekevu na wajinga wakisema nao, huwajibu β€œSalama ”. (25:63)



                   

Download Post hii hapa

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Jifunze Main: Dini File: Download PDF Views 1025

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
πŸ‘‰1 Madrasa kiganjani    πŸ‘‰2 Kitabu cha Afya    πŸ‘‰3 Kitau cha Fiqh    πŸ‘‰4 Simulizi za Hadithi Audio    πŸ‘‰5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    πŸ‘‰6 Bongolite - Game zone - Play free game   

Post zinazofanana: