Zoezi - 4

Zoezi - 4

Jiunge nasi WhatsApp
Upate Update zetu

Zoezi - 4

Zoezi - 4


1. Nukuu aya ya Qur-an au tafsiri yake inayotufahamisha lengo la kuletwa binaadamu hapa ulimwenguni.



2. “(Wakumbushe) wakati Mola wako alipowaambia Malaika, “Mimi nitaleta khalifa katika ardhi...” (2:30) Kwa mnasaba wa aya hii khalifa ni .



3. “Mwenyezi Mungu amewaahidi wale walioamini miongoni mwenu na kufanya vitendo vizuri kuwa atawafanya makhalifa katika ardhi kama alivyowafanya makhalifa wale waliokuweko kabla yao, na kwa yakini atawasimamishia dini yao aliyowapendelea na atawabadilishia amani baada ya hofu yao. Waw e w ananiabudu, haw anishirikishi na chochote...” (24:55) Kutokana na aya hii tunajifunza yafuatayo:


(i)


(ii)


(iii)


(iv)



4. Waumini wa kweli katika jamii wanadhima ya kufanya yafu atayo:


(i)


(ii)


(iii)




5. Kwanini Waislamu wanalazimika kuusimamisha na kuuhami Uislamu katika jamii? *************************




                   


Download Post hii hapa

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Jifunze Main: Dini File: Download PDF Views 720

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio    👉2 kitabu cha Simulizi    👉3 Madrasa kiganjani    👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉5 Bongolite - Game zone - Play free game    👉6 Kitau cha Fiqh   

Post zinazofanana:

Uhakiki wa hadithi za mtume
Uhakiki wa hadithi za mtume

Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...
quran na sayansi
quran na sayansi

QURANI KATIKA ZAMA ZA SAYANSI NA TEKNOLOJIAAsalaalaamu alykum warahmatullah wabarakaatuh.

Soma Zaidi...
Zoezi
Zoezi

Maswali mbalimbali yanayohusu elimu ya dini ya kiislamu na mwongozo wa elimu na elimu mazingira.

Soma Zaidi...
Elimu
Elimu

Uwanja wa elimu na maarifa

Soma Zaidi...
Uandishi wa hadithi wakati wa tabiina (wafuasi wa maswahaba)
Uandishi wa hadithi wakati wa tabiina (wafuasi wa maswahaba)

Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...