HADITHI ZA ALIP LELA U LELA KITABU CHA TATU
Umeionaje Makala hii.. ?
HADITHI YA CAMARALZAMANI PRINCE PEKEE Inapata mwendo wa safari ya siku 4 kwa farasi kutokea nchi ya Peshia alikuwepo mfalme maarufu sana aliyefahamika kwa jina la Shahzaman.
Soma Zaidi...Hadithi za Alif lela u lela kitabu cha tatu sehemu ya nane
Soma Zaidi...Mungu ashukuriwe sana, hatimaye miezi kadhaa ikapita bila ya waziri Masoud kugundua siri nzito.
Soma Zaidi...Kama wasemavyo waliokula chumvi nyingi kuwa muomba mungu hachoki, basi waziri Faridi aliendelea kuomba Mungu hata siku moja akapata taarifa kuwa kuna watumwa wametokea nchi za Uajemi.
Soma Zaidi...Alikuwepo mfalme aliyetambulika kwa jina la Muhammad Suleiman Azeyn.
Soma Zaidi...VARANGATI ASUBUHI; Baada ya kugunduwa kuwa haikuwa ndoto kamaralzamani aliamini kuwa yule ndio mke ambaye baba yake alimchagulia.
Soma Zaidi...Mama aliendelea kugomba sana kisha akamfungia binti ndani na kuweka walinznwa kiume, kisha akawaambia โharuhusiwi kuingia wala kutoka yeyote humu ndnai, hata mbwa Nurdiniโ neno mbwa lilimtoka tu mama Nurdini kisha akajilaumu kwa kumfana nisha ...
Soma Zaidi...KATIKA BOSTANI LA KIFALME BAGHADADBasi Nurdini na mke wake bila hata ya kujuwa wapi watafikia waliingia kwenye mashua na kuwasili Baghada wakati wa jioni.
Soma Zaidi...TAHARUKI Siku hiyo kamaralzamani Feki alikuwa ufukweni kukaguwa mendeleo, alikuwa yeye na mke mwenzie.
Soma Zaidi...