JITIBU KWA MUAROBAINI: faida za kiafya za muarobaini
1.
FAIDA ZA MUAROBAINI
1.Kutibu vidonda
Hii hifanyika kwa kusaga majani ni muarobaini kasha unapaka majimaji yake kwenye kidonda kwa. Hivi utafanya kwa uchache kwa siku. Fanya hivi mpaka kidonda kikauke.
2.kutibu matatizo ya macho
Hii hufanyika kwa kuchemsha majani ya muarobaini. Subiri mpaka maji yapoe kasha tumia maji haya kusafisha macho yako. Husaidia miwasho ya macho na matatizo mengineyo
3.matatizo ya masikio
Saga majani ya muarobaini kasha changanya na asali. Tumia matone machache ya mchanganyiko huu kwenye sikio.
- kwa muasho wa ngozi
Saga majani ya muarobaini kasha paka kwenye ngozi
5.husaidia kuimarisha mfumo wa kinga ya mwili. Kunywa glass ya maji ya majani ya muarobaini yaliyochemshwa.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 web hosting 👉4 Simulizi za Hadithi Audio 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Kifuwa kinaniuma katikati kinaambatana nakichwa
Maumivu ya kifuwa yanaweza kutokea baada ya kubeba kitu kizito, ama kupata mashambulizi ya vijidudu vya maradhi. maumivu ya viungo na hata vidonda vya tumbo. Lakini sasa umesha wahi fikiria maumivu ya kifuwa kwa katikati?
Soma Zaidi...Dalili za maambukizi kwenye ovari
Posti hii inahusu zaidi dalili za maambukizi kwenye ovari, ni maambukizi ambayo hutokea kwenye ovari na kusababisha matatizo makubwa kama mgonjwa haujatibiwa mapema.
Soma Zaidi...Mie ni mwanamke ninamaumivu chini ya kitovu upande wa kushoto, na nikishika tumbo nahisi kitu kigumu upande huo huo wa kushoto... hii itakua ni nini?
Je unasumbuliwa na maumivuvya tumbo chini ya kitovu upande wa kushito. Post hii itakuletea sababu za maukivubhayo na nini ufanye.
Soma Zaidi...Dalili kwa mtu anayeharisha
Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kuharisha, kuharisha ni kitendo Cha kupitia kinyesi chenye maji inawezekana kina damu au kisichokuwa na damu.
Soma Zaidi...Dalili za Kufunga kwa ulimi (tongue tie)
Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili za Kufunga kwa ulimi (Tongue-tie) kuanzia Mtoto anavyo zalia mpaka navyokua ni hali inayotokea wakati wa kuzaliwa ambayo kitaalamu hujulikana kama ankyloglossia.
Soma Zaidi...