Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa
SURA YA TANO
HUKUMU ZA IDGHAM . 1 Idghaam Al-Mutamaathilayni (Zinazofanana)
Hukumu hii hutokea wakati herufi mbili za aina moja zinapokutana, kwa namna ya kuwa herufi ya kwanza iwe na sakina na inayofata iwe na iโrabu. Hali hii itafanya herufi ya kwanza iingizwe kwenye herufi ya pil na hivyo hii ya pili inawekwa shada.
2 ุฅูุฏูุบุงู
ุงููู
ูุชูุฌุงููุณููููู Idghaam Al-Mutajaanisayni (Zinazoshabihiana)
Hii hutokea pale herufi mbili zinazokaribiana kufanana katika matamshi zikkititana, na mnmna ambayo herufi ya kwanza iwe na sakina na inayofata iwe na iโrabu. Hali hii itapelekea kuwekwa shada kwa herufi ya pili.
Umeionaje Makala hii.. ?
waqfu ni misimamo ambapo msomaji wa Quran anaruhusiwa kusimama, kuhema au kumeza mate. Na ibtidai ni kuanza baada ya kutoka kwenye waqf
Soma Zaidi...Sura hii inazungumzia kuhusu hali ya Abulahab namke wake wakiwa kama Watu waovu. Ni moja katika sura ambazo zilishuka mwanzoni toka Mtume alipoamrishwa kulingana dini kwa uwazi.
Soma Zaidi...KUANGAMIZWA KWA JESHI LA TEMBOTukio la pili ni lile tukio la tembo, na ilikuwa hivi:- Kiongozi mmoja wa kiyemeni aliyetambulika kwa jina la Abrah aliona waarabu kutoka maeneo mbalimbali wanafunga misafara kuelekea Makkah kwa lengo la kwenda kuhiji.
Soma Zaidi...Hapa utajifunza kuhusu hukumu ya Idh-har katika usomaji wa Quran.
Soma Zaidi...